Aisee mlima ushakuwa mrefu.Ila leo hawajatupia.
Tumepigwa cha pili
🙄Wamechambia wemba huku al ahaly
Hapo kuna storm.Aisee mlima ushakuwa mrefu.
Hali ya hewa MbayaIran kavamia uwanjani ohooo
Sio bomuMbona Kama vile bomu ??
Ahhh hapo sawaHali ya hewa Mbaya
Kawingu katuma iran hakoKa wingu kadogo tu watu wanakimbilia vyumbani
Utachoka Sana kusimama na timu zote za Africa. Ungelala nazo tuu.Nasimama na Timu zote kutoka Africa
Sasa utakuwaje?Ahhh hapo sawa
🤣🤣🤣Ka wingu kadogo tu watu wanakimbilia vyumbani
Nahisi itarudiwa kuanzia ilipoishia dkk ya 61 kwenda mbele,,Sasa utakuwaje?
Zilibaki karibia Dakika 30
Yaani kwanza kutoka mpaka wangekuja wale wa Fanya Fujo Uone. 😅Nimependezwa na namna wenzetu wanavyozingatia maelekezo,, ingekuwa bongo sasa hizo vurugu zake dah,,
Upo mtaniAisee mlima ushakuwa mrefu.