MCHUMIHURIA
Member
- Jun 19, 2025
- 31
- 32
Hawa Palmeiras ndio Wenye Ile Jezi Pendwa kwa Masista Duu Wa KibongoTukutane Saa Moja Usiku.
Ndugu zetu Al Ahly wanapambana na Wabrazil Palmeiras
2nd Game.
All the Best Africans
Hawa Palmeiras ndio Wenye Ile Jezi Pendwa kwa Masista Duu Wa KibongoTukutane Saa Moja Usiku.
Ndugu zetu Al Ahly wanapambana na Wabrazil Palmeiras
2nd Game.
All the Best Africans
..Round 2, Leo
Saa 1:00 usiku
Palmeiras vs Al Ahly
Saa 4:00 usiku
Inter Miami vs Porto
Saa 7:00 usiku
Seattle Sounders vs Atletico Madrid
Saa 10:00 usiku
PSG vs Botafogo
Na wakaka. 🤣🤣Hawa Palmeiras ndio Wenye Ile Jezi Pendwa kwa Masista Duu Wa Kibongo
Hivi Al Ahly sio ndio alicheza jana na Madrid? Na leo tena anacheza?Al Ahly kufuata nyayo za Mamelodi Sundown dhidi ya Palmeiras?
Tusubiri Dk 90
Jana ilikuwa AL HILAL Ya saudi arabiaHivi Al Ahly sio ndio alicheza jana na Madrid? Na leo tena anacheza?
Okay, sawa.Jana ilikuwa AL HILAL Ya saudi arabia
Mbona sio ngeni hiiSijaelewa huu ndo utaratibu mpya refa akitoka kwenye VAR anatoa maamuzi kwa sauti uwanja mzima mnasikia?
Au huwa ipogo mie ndo sijawahi gongana nayo hii.
Ooh. Sawa Mkuu.Mbona sio ngeni hii
Sawa ndio wenyeweHawa Palmeiras ndio Wenye Ile Jezi Pendwa kwa Masista Duu Wa Kibongo
Ila leo hawajatupia.Sijui kama mashabiki wa Palmeiras wanajua kuwa timu yao ipo uwanjani leo. 😅😅
Mana Daslam Jezi zao zimevaliwa hatari.