2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Vigezo gani vilivyowaengua akina Liverpool, arsenal, man united, Barcelona, intermilan, na team nyingine kubwa au kunamichuano y kufuzu ilichezwa?
 
usipolipia king'amuzi lazima utasema mashindano ni mabaya lakin natania nisije pigwa mawe kiufupi mashindano ni mazuri sana
DORTMUND VS FLUMINENSE Bonge moja la game dortmund wazuri kufunga alaf fluminense wagumu kufungka hii si ya kukosa
eti dortmund wazuri kufunga, team inafoward mbovu balaah 🙌🏽
 
Euro Million 140 sawa na Shilingi Bilioni 13 na Milioni 476
Hapa umetupiga za uso mzee… 🤣

Kwanza euro million 140 sio sawa na shillings billion 13, pesa ya madafu.

Second Hii pesa ni nyingi sn, so rational ya mashindano na zawadi haziendani, watu wanaweza fia uwanjani, 🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…