Leo mnafungwaLeo tena Wajerumani Uwanjani.
MachachariAdeyem yupo vizur sana
Fluminense wanachezea mpira dortmund wanashambuliaLeo mnafungwa
Yaani mpaka najawa hofu. Ila tunatoboa.Leo mnafungwa
Tunacheza kimikakati ila wabrazil tunawaacha wamilik mpiraYaani mpaka najawa hofu. Ila tunatoboa.
Yaaani lazma mjitetee🤣🤣Fluminense wanachezea mpira dortmund wanashambulia
Hahaah sio rahisi mtani🤣🤣Yaani mpaka najawa hofu. Ila tunatoboa.
Nakumbuka kuna game moja ya UEFA vs Chelsea jamaa alimkimbiza Enzo vibaya sana.Adeyem yupo vizur sana
Akiwa karbu na gori analeta usumbufu ilitakiwa afunge gori lakn anawaza kufinya mabekiNakumbuka kuna game moja ya UEFA vs Chelsea jamaa alimkimbiza Enzo vibaya sana.
Hakika.Tunacheza kimikakati ila wabrazil tunawaacha wamilik mpira
Subiri tuone Mtani.Hahaah sio rahisi mtani🤣🤣
Jamaa ndio mchezaji bora wa BVB leo, hamna kazi hao.Una kipa kama kobel mungu akupe nin kingine