2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu isije ikawa source yako ni KigogoKE
 
Hapana Mkuu, siku hizi uraisi umeacha kuwa taasisi. Si Marekani wala Tanzania tu. Kwa nchi hizi mbilli tu, uraisi ungekuwa tasisi wala tusingeongelea ofisi ya raisi kukiuka katiba kimakusudi.
Wakat mwingine hiyo taasisi ndo inatoa maelekezo ya kukiuka. Raisi kama mtu hana nguvu kama tunavyodhani, lazima watu au mfumo flani umpe hiyo nguvu.
 
Hivi kumbe Netanyahu ni Raisi. Sikuwahi fahamu.
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika Mashariki ni mkoa wa Tz au ni nchi jirani?? sidhani hao wakija huko Africa Mashariki sisi Tz tutafaidi lolote. DT hawezi kukubali ku risk maisha yake aje kulipuliwa na ma shababu huku kinangoo
 
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Myahudi Benjamin Netanyahu kawa rais siku hizi na c waziri mkuu?
 
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Hao ni Mabeberu itakuwaje na sisi hatutaki Mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!

Wenzenu wanauza mitambo, magari, technologia, mazao na ndio maana wanaendelea hizi nyimbo za utalii zinatakiwa iwe ziada jamani, tunataka watoto wetu watengeneze electronics, spares, machines, magari ndio vitu vinavyotulazimisha tuagize nje na kutumia pesa nyingi.
 
Watakuja Tz?
Wewe unavyomuona huyu bwana anaweza kumleta mtu TZ?!
tapatalk_1579683163851.jpeg
 
U
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Una mawazo mfu,ugeni wa jirani wewe utafaidikaje endeleeni na siasa zenu
 
Back
Top Bottom