Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Basi tenaMama kapanda hadi 215
Basi tenaMama kapanda hadi 215
Sasa ndio ujue KUWA bendera hufuata upepo.tb joshua alisema atashinda clinton
Safi tuuuuuuuuu!!Africa Inakwenda kutawaliwa tena sio kwa hiari...
Mimi natamani hata niende wapi sijui!Naanza kunywa sasa
Kweli mkuu ? kwa nini unafikiri hivyo? hivi califonia ni ngome ya democraty na ina eleoctro vote ngapi ?Yanapinduka muda si mrefu hapa
Mziki unaisha bibi anagaragazwa hukuBasi tena
Hata msnbc wanaonyesha hiyo 244Mwenye email adress ya BBC anipatie niwaambie kuwa Trump ana 254 na sio 244 Pls
Sasa ulijua km Mimi ni muha km wewe sio muhutu?
America for Americans, very nice. Watu walishatabiri matokeo yao, inaelekea kula kwao.Latest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters, remember 16 electoral votes are up for grab in Michigan and enough for Trump to hit the 270 mark to become the next President of USA
Donald Trump 254
Hillary Clinton 215
Source: Fox News Fox News
Safi kabisaHuku Putin, kule Trump... kudadadeki; mbona ISIS watatokea hadi madirishani!!!
Njoo kwangu hakuna Wamarekani wameshaamua aiseeMimi natamani hata niende wapi sijui!
Trump POTUS, 45thMelania Trump... FLOTUS