mkimbili manyovu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 370
- 407
Tunaomba yasipinduke mkuu.Yanapinduka muda si mrefu hapa
Tunaomba yasipinduke mkuu.Yanapinduka muda si mrefu hapa
Bado nakupenda sana hayo maandishi yako ujue yule nanihiii huwa hapendiYote yanasababishwa na vidikteta uchwara ving'ang'anizi vya madaraka. Mniombee, kila mtu alipe kodi nchi hii huku yeye mwenyewe halipi kodi halafu anaenda bungeni kugawa rushwa ya milioni 10 kwa kila mbunge bila hata kuchukua kodi halafu anajikausha kama siye vile.
Tena counting imeshafanyika kwa 97%...kuna kazi tena hapo?Pennsylvania, moja ya large electoral states Donald anaongoza... inabidi tu sasa watu wajiandae kisaikolojia!
hahahahahahaha Haya bana .Hakuna atakayehama Denzi.
Wanabipu tu hao.
Mkuu tuache kujipa matumaini.Asante nimekupenda bure
Ni habari njema , vipi Jecha hayupo ?Acha uongo wewe
Trump ana 254
Mbibi yupo hoi!!!
Fuatilia vizuri habari utaelewa Trump Yuko vipi Na PutinSubiri uone ........
Trump all the wayLatest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters
Donald Trump 254
Hillary Clinton 215
Source: Fox News Fox News
waiter zungusha kama tulivyooAfter 97.4% of voting districts in Pennsylvania
Trump 48.5% Clinton 47.9%.... 20 electoral vote....Case closed
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Sanamkuuu yaaanii my anaingia guest Jana asbh anakuta matokeo y'a uraisiAfrica bado tunahitaji kukua kiutendaji, hawa jamaa ni muda mfupi tu wamemaliza kupiga kura na matokeo yana momentum ya kutosha yanavyotoka, sisi huku kwetu uchaguzi wa diwani tu matokeo baada ya wiki tena Polisi wakiwepo!!!
Just thinking aloud
Asante. nashukuru kusikia sio mimi tu .Inaniambia ''sver connection failed''!