2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Latest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters, remember 16 electoral votes are up for grab in Michigan and enough for Trump to hit the 270 mark to become the next President of USA

Donald Trump 254
Hillary Clinton 215
Source: Fox News Fox News
 
Sijui ataficha wapi uso wake huyu TB Joshua,iweje Mungu wake amtabirie mambo amabyo sio ya kweli.Waumini wa awa watu mna kazi sana.
Tutampiga mawe akija kanisani Jpili hii hawezi kutufanya sisi watoto wadogo.
 
Mtu 1ameuawa huko California kwa risasi karibu na kituo cha kupigia kura.
 
Huyo babu hatabiriki kaka yangu shauri zako.Usije sema sikukushauri mapema
Umesema Babu hatabiriki? Yeye hatoi kikombe? LOL.

Mwenyekiti wa tume huru, Jecha anatahitajika USA kwa haraka. Zawadi nono itatolewa kwa atakayemfikisha kwa wakati. Anayemhitaji ni Bibi Clinton kwa kazi ya dharura.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siwezi kusubiri...
Muarab wa Oman [emoji12]
Ila nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye huu uchaguzi! Verrrryy big..

Pole Nifah ingawa na mimi ndoto zangu za vacation Miami zimeyeyuka but mwenzako nimefurahi! Mwenyezi Mungu anisamehe ila huyu mama simpendi aisee [emoji17] [emoji17]
 
Latest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters, remember 16 electoral votes are up for grab in Michigan and enough for Trump to hit the 270 mark to become the next President of USA

Donald Trump 254
Hillary Clinton 215
Source: Fox News Fox News
 
Kama Trump akishinda kwa hali halisi inavyoonekana, then I'll never ever again trust media kwenye OP's!!!
Hapa bongo mwaka jana Lowassa alihakikisha media zote zinamuimba yeye..huku akichagizwa na manabii kama Gwajima na TB Joshua....mambo yalivyotoka ilionekana kaibiwa kura...kumbe tulikuwa tukionyeshwa sehemu anazokubalika tu, na kuonyeshwa sehemu mpinzani anapokataliwa tu kumbe si kweli....leo tunaaminishwa eti Lowassa alishinda hadi Chato.
 
Achana nae huyo jamaa Ni mbishi Na ubishi Ni asili Yao huko kigoma . Mpotezee anatupumzikia Tu.
Teh teh teh teh

Mnavamia mambo ya kimataifa kwa vyanzo vya hbr vya magazeti ya Shigongo alafu mnakuja tujadili hapa......

Nitawarudisha kwenu kibirizi.
 
Back
Top Bottom