2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Kuna nigger moja CNN ni pro Clinton kaanza kukata tamaa, ......kikerewe kigumu ila naona analaumu stock market I mean a kuporomoka wakati Trump anaelekea kushinda
 
1478671643844.jpg
1478671650434.jpg
donald trump enzi za utoto na ujana
 
Hauko sahihi. Trump alimshambulia Obama kwa kumsifu Putin kutokana na Obama kuruhusu Putin kufanya anavyotaka kule Cremea na Syria lkn km Trump ataingia atamfurusha Putin popote alipo kwa nguvu zote unaweza kukumbuka kituo kikubwa cha mabomu mazito cha Poland alichojenga Bush. Sasa Trump atavijenga vingi sn yote hiyo ni kuibana Urusi
Inaonekana unaongea tu bila fact, jaribu kupitia hata youtube utazame speech za Trump juu ya Putin na Russia na fuatilia mtazamo wa Putin kwa Donald Trump.... Halafu usiwe unaongea habari za kusadikika
 
Hapa bongo mwaka jana Lowassa alihakikisha media zote zinamuimba yeye..huku akichagizwa na manabii kama Gwajima na TB Joshua....mambo yalivyotoka ilionekana kaibiwa kura...kumbe tulikuwa tukionyeshwa sehemu anazokubalika tu, na kuonyeshwa sehemu mpinzani anapokataliwa tu kumbe si kweli....leo tunaaminishwa eti Lowassa alishinda hadi Chato.
huoni hata haya mwanaumw mzima kuwa mbe kama mwanamke media zote zilikuwa CCM hata mtoto wa darasa la 2 analijua hilo mikutano yenu tu ndio ilikuwa inaonyeshwa kwenye media.nakusisitiza tena acha tabia za Ki Mama
 
Sina tena matumaini mpenzi...sijui!
Natamani hata apunguze gap kidogo afikie hata 30 kutoka hizo 15 ninywe hata chai!
Loooh Nifah mimi ushabiki utaniua [emoji17] [emoji24]
Miss, you have to recheck your 'betting' principles, as far as i can remember, you always fluff!
 
Hayo matokeo ni ya Red state yaani ngome ya Republican bado ngoma ni Mbichi ngoja upepo unaanza kubadilika wakianza Blue states na Swing States
 
Ila nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye huu uchaguzi! Verrrryy big..

Pole Nifah ingawa na mimi ndoto zangu za vacation Miami zimeyeyuka but mwenzako nimefurahi! Mwenyezi Mungu anisamehe ila huyu mama simpendi aisee [emoji17] [emoji17]
Dah,hongera bwana....

Mimi nampenda,hilo li Trump sitaki hata kuliona.

Najua kwanini unamchukia mama...ni zile cases za Ghadafi and the likes,huh?
 
Hata mkataba wa EPA tuliokataa kusaini,kwa Trump lazima tutalipia gharama

naiona miradi ya millenium challenge ikifa kabisa
 
Watanganyika mnaona lakin wenzenu wanavyobadilisha vyama? Nyie mmekomaa na chama kimoja tu. 2020 komaeni bwana. Na bahati nzuri 2020 chaguzi za Tanzania na US zitafuatana
 
Ngoja wapum...KamA nyie mjemtawaliwe TENA maana akili zénu ni mgando

Ova
Hapa bongo mwaka jana Lowassa alihakikisha media zote zinamuimba yeye..huku akichagizwa na manabii kama Gwajima na TB Joshua....mambo yalivyotoka ilionekana kaibiwa kura...kumbe tulikuwa tukionyeshwa sehemu anazokubalika tu, na kuonyeshwa sehemu mpinzani anapokataliwa tu kumbe si kweli....leo tunaaminishwa eti Lowassa alishinda hadi Chato.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom