2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

hii ni habari mbaya sana kwa mataifa tegemezi. Sasa ni kujipanga kutokuwa mataifa tegemezi.

Maana huyu jamaa Mungu ameruhusu awe Rais ili kuyaamsha mataifa tegemezi yaanze kujitegemea.
 
vile Nyani Ngabu anajiandaa!!!!
 

Attachments

  • 1478670547635.jpg
    1478670547635.jpg
    56.5 KB · Views: 47
Unamzungumzia Trump wa zamani huyo lakini sio wa sasa! Trump wa sasa role model wake ni Putin and the reason behind ni ISIS! Kwa Trump, Obama na timu yake wanawalea lea ISIS kwavile goal yao ni kumuondoa Assad madarakani wakati goal ya Trump inaendana na Putin... yaani kuwafyekelea mbali ISIS! Na ndio maana wiki chache zilizopita, "wahuni" walipoweka banner ya Putin kwenye daraja ya Manhattan, ikahisiwa waliofanya hivyo ni Trump Supporters!
View attachment 431365
Unaongelea kwa jicho 3G tumia 3D ndo utaona km huyo Putin na Trump wataiva.

Trump kumshambulia Obama kua Putin ni Kiongozi mzuri ni kutokana uongozi legelege Wa Obama lkn in fact he is not his model
 
duuuhh nimejaribu ku search kuangalia kama mtu unaweza kuhamia Canada from US
naona Site nzima imeaanguka. Niliona Aljazeera kuwa site ya Immigration ya Canada imeanguka
ajili ya Application nyingi.

Ningeomba mwingine ajaribu kama hii ni kweli au ni computer yangu tu?.
 
Yote yanasababishwa na vidikteta uchwara ving'ang'anizi vya madaraka. Mniombee, kila mtu alipe kodi nchi hii huku yeye mwenyewe halipi kodi halafu anaenda bungeni kugawa rushwa ya milioni 10 kwa kila mbunge bila hata kuchukua kodi halafu anajikausha kama siye vile.

ila wenzetu hadi raha... sisi huku matokeo wiki mbili mara masanduku yameibiwa, mara karatasi hazitoshi, mara wasimamizi wamechelewa kufika....Mambo kibao....
 
Pennsylvania, moja ya large electoral states Donald anaongoza... inabidi tu sasa watu wajiandae kisaikolojia!
 
[emoji3] [emoji23]

Ila mimi afadhali kidogo Surname iko neutral labda wanaweza kunihurumia ila first name wazee walikomesha utasema nimeshuta toka Oman [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siwezi kusubiri...
Muarab wa Oman [emoji12]
 
duuuhh nimejaribu ku search kuangalia kama mtu unaweza kuhamia Canada from US
naona Site nzima imeaanguka. Niliona Aljazeera kuwa site ya Immigration ya Canada imeangaka
ajili ya Application nyingi.

Ningeomba mwingine ajaribu kama hii ni kweli au ni computer yangu tu?.

Hakuna atakayehama Denzi.

Wanabipu tu hao.
 
Back
Top Bottom