The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,403
- 122,527
eeee Mungu saidia huyu mtu ashindeeee!Pennsylvania, moja ya large electoral states Donald anaongoza... inabidi tu sasa watu wajiandae kisaikolojia!
hahahahahahaha Haya bana .
Hivi kusafiri kutoka US kwenda Canada unahitaji visa?
Wanapumuliana daah naomba hii mechi iishe sareOna
DT 48.77
HC 47,65
source:CBS NEWS
yanapinduka muda si mrefu kule Michigani Minnesota naPennyslvan ndio kutaamua maana PN wana EV 20 michigani 16 na Minnesota 10..Yanapinduka muda si mrefu hapa
Naanza kunywa sasaMkuu tuache kujipa matumaini.
Tujiandae kwa lolote kuanzia sasa,hakuna namna!
Tutaandika historia clinton atashinda muda ukifikaMnatuchanganya
Ngoja mda ufike
Hivi tutumie lugha gani kuwaambia hawa watu ni matapeli na wapiga RamliTB Jushwa ameingia chaka tena!!
Siwezi kushangaa hata kidogo manake huu uchaguzi nilikuwa naufuatilia kimya kimya and from the beginning nilijua tu manake mashabiki wa Trump walikuwa extraordinary excited kulinganisha na wale wa Hillary! Ilikuwa hata ukiingia kwenye local social networks (zinazotumika sana na Waamerika peke yao), ilikuwa unaona kabisa hamasa ya Trump Supporters... yaani kama ilivyokuwa kwa UKAWA mwaka jana!Shughuli imefika ukingoni Mkuu.
Acha uongo bhana tangu lini USA na Russia wakawa marafiki.Fuatilia vizuri habari utaelewa Trump Yuko vipi Na Putin
Mimi wala sina hofu kabisa.
Huna sababu ya kuwa na wasiwasi wowote ule.[/QUOT
wameshatangaza mshindi??
Trump kashashinda maaana haya majimbo matatu yaliyobaki anaongoza kwa asilimia kubwa sanayanapinduka muda si mrefu kule Michigani Minnesota naPennyslvan ndio kutaamua maana PN wana EV 20 michigani 16 na Minnesota 10..