akishinda Hillary kwa mfano ungesikia "Maneno ya TB Joshua yatimia"....
My dia kwani nawe uko marekani?Bora wewe kwenye kochi,mimi kitandani hata kujigeuza siwezi!
Naona huyo mama kaanza kupunguza gape.MATOKEO HADI KUFIKIA SAA 8:30 ASUBUHI E.A TIME
Electoral votes Clinton 215 while 50,942,017 (47.2%) popular votes
Electoral votes Trump 244 while 52,079,143 (48.2%) popular votes
In order to win election that candidate must acquire 270 electoral votes
Matokeo haya yanaendelea kushangaza kula za maoni, wengi walivyotegemea imekuwa sivyo.
Wewe nae?Utadhani umeulizwa.we si ndo zako,, kuwekaga hela sehem za kushindwa.. nakukumbuka sana kwa lowassa. bado hesabu za siasa hujazijua wewe
Kwani kwa sasa tunajitawala mkuu?Mkuu tutakuwa tumerudi kwenye ukoloni,Huyu jamaa anasema akiingia ikulu basi Africa ijiandae kutawaliwa tena
Trump Ana 50.08%MATOKEO HADI KUFIKIA SAA 8:30 ASUBUHI E.A TIME
Electoral votes Clinton 215 while 50,942,017 (47.2%) popular votes
Electoral votes Trump 244 while 52,079,143 (48.2%) popular votes
In order to win election that candidate must acquire 270 electoral votes
Matokeo haya yanaendelea kushangaza kula za maoni, wengi walivyotegemea imekuwa sivyo.
Kitambo sana trump kachukuaHiv matokeo ya texas tayari ?
Huku kuanzia tume na makamishna wote ni vibaka unategemea nini hapo,jecha alikimbia n karatasi ya matokeaila wenzetu hadi raha... sisi huku matokeo wiki mbili mara masanduku yameibiwa, mara karatasi hazitoshi, mara wasimamizi wamechelewa kufika....Mambo kibao....
Kwani ametangazwa mshindi, subiri hadi mwisho.Mkiambiwa watu wanaongoza dini kwa hisia zao wenyewe, mnatuita ant-Christ.
Haya ule utabiri ulitoka wapi? kama ni kwa Mungu, mbona umefeli?..........kama ni kwake yeye mwenyewe, ina maana anaongoza watu wa fikra zake za kibinadamu?
Ndio maana wanawaita kondoo.
Shemela na mimi niko na jina la kiarabu.Mhhhhhhh itabidi uniambie jina lako faragha aiseee,same here (niko na jina la kiarab)
Nilimuambia mtu hivi asubuhi hii,ndoto kushney [emoji17]
Kaka inabidi uanze mapema kunitumia hela zako western union nikuhifadhie maana naona hali si shwari huko
Yanapinduka muda si mrefu hapaTrump Ana 50.08%