2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Latest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters, remember 16 electoral votes are up for grab in Michigan and enough for Trump to hit the 270 mark to become the next President of USA

Donald Trump 254
Hillary Clinton 218
Source: Fox News Fox News
 
upload_2016-11-9_9-11-22.png
 
Umetumwa? Kiboko ya ving'ang'anizi wa madaraka anakuja mtajuta.
faili la kwanza.kulishughulikia ni la uchakachuaji wa uchaguzi wa zanzibar.

hili atalishikia bango kwa kuwa na yeye ni almost victim wa zengwe
 
Teh teh teh teh

Mnavamia mambo ya kimataifa kwa vyanzo vya hbr vya magazeti ya Shigongo alafu mnakuja tujadili hapa......

Nitawarudisha kwenu kibirizi.
Lakini hata utawala wa Obama uliishutumu Russia na Putin kuwa wanaingilia mchakato wa Urais huku ikiwa wanamuangamiza Clinton.Hayo ni maneno yao si yetu.

Then hata Trump alihamasisha Russia iendelee kuzianika email za Clinton hadharan.

Kama umefuatilia BBC,Yahoo news hayo yapo kuhusu uhusiano wa Putin na Trump hadi kufikia Putin kutangaza uwezekano wa vita kati ya USA na Russia iwapo mama Clinton atashinda kiti cha Urais.
 
wale nadhani wanakatiba inayosimamiwa tofauti na huku kwetu ngoja tuone
 
Inaonekana unaongea tu bila fact, jaribu kupitia hata youtube utazame speech za Trump juu ya Putin na Russia na fuatilia mtazamo wa Putin kwa Donald Trump.... Halafu usiwe unaongea habari za kusadikika
Tangu lini USA wakawa marafiki na Russia?
 
Hapa bongo mwaka jana Lowassa alihakikisha media zote zinamuimba yeye..huku akichagizwa na manabii kama Gwajima na TB Joshua....mambo yalivyotoka ilionekana kaibiwa kura...kumbe tulikuwa tukionyeshwa sehemu anazokubalika tu, na kuonyeshwa sehemu mpinzani anapokataliwa tu kumbe si kweli....leo tunaaminishwa eti Lowassa alishinda hadi Chato.
wewe utakuwa unatumia mkuundu kufikiri pumbaavu kabisa
 
Latest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters, remember 16 electoral votes are up for grab in Michigan and enough for Trump to hit the 270 mark to become the next President of USA

Donald Trump 254
Hillary Clinton 218
Source: Fox News Fox News
Jamani mama afikishe japo 30 basi?[emoji24]
 
Back
Top Bottom