Trump mikwara mingi, kumbe muoga hivi?

Trump mikwara mingi, kumbe muoga hivi?

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
2,603
Reaction score
9,921
Angalia mbinu iliyotumika kumlinda dhidi ya Iran.

​


Julai 8, 2026, Rais Donald Trump alitolewa kwa siri Uturuki wakati wa mkutano wa NATO baada ya maafisa wa Marekani kubaini tishio linaloaminika dhidi yake kutoka Iran.

Badala ya kusafiri kwa ndege ya zamani ya Air Force One kama ilivyotangazwa, Trump alitolewa kwenye ndege hiyo kupitia kontena la chakula na kuhamishiwa kwenye ndege ya kijeshi aina ya C-32A, iliyomsafirisha kwa siri hadi Uingereza.

Waandishi wa habari waliokuwa kwenye ndege hiyo ya Air Force One hawakuambiwa kuwa Trump hakuwa ndani, hivyo bila kujua wakawa sehemu ya mpango wa kuwachanganya watu kuhusu mahali alikokuwa.

Baada ya kufika Uingereza, Trump alihamishiwa tena kwenye Air Force One ya zamani, kisha akaonekana hadharani akipanda ndege mpya aliyokuwa amepewa na Qatar kwa ajili ya safari ya kurejea Washington.

Operesheni hiyo iliandaliwa ndani ya muda mfupi baada ya maafisa kubaini kuwa tishio kutoka Iran lilikuwa la kweli.


==============

Top administration officials engaged in an elaborate deception to spirit President Trump out of Turkey during the NATO summit there last month, transporting him in a catering container to a military jet because of a threat against him and Air Force One from Iran, two senior U.S. officials said on Monday.

Mr. Trump and other officials had said publicly that he would be leaving Turkey on July 8 aboard one of the older versions of Air Force One rather than a luxury 747-8 donated by Qatar that he had flown in on. Mr. Trump told reporters at the time that he was making the switch for “old time’s sake.”

Mr. Trump boarded the older plane from the left-side door in view of cameras, and news organizations, including The New York Times, reported that he had traveled on it to Britain, where he switched back to the newer plane.

The Times that the decision was driven in part by concern about the security of the new plane donated by Qatar, which had not been equipped with all of the defensive capabilities of older versions.
But instead of flying out aboard that older, powder blue, modified 747, Mr. Trump was whisked off that plane via a catering container that had been lifted to the opposite side of the plane from where the journalists traveling with him boarded, one of the U.S. officials said. The president was then taken to a third plane, which he flew in secret to Britain, the official with knowledge of the matter said.

Reporters on the older plane were not told that Mr. Trump had not flown with them from Turkey to an air base in Britain, making them unwitting participants in the ruse and leaving them, along with some White House staff members, to serve as unknowing decoys.

After Mr. Trump arrived in Britain, he was secretly moved back to the older version of Air Force One. He then disembarked in view of reporters and walked across the tarmac to the plane donated by Qatar, which he flew to Washington.

The elaborate plan appears to have been developed in a matter of hours after officials determined that a threat against Mr. Trump from Iran was credible. It came after years of threats against Mr. Trump from Iran and amid the war he launched against that country. And it was an unusual instance of the public being deceived about a president’s whereabouts.

Officials have not previously acknowledged that Mr. Trump was not where they claimed he was. The furtive operation was reported earlier by the Washington Post which identified the plane that carried the president to Britain from Turkey as a C-32A, a military variant of a Boeing 757.


Source: CNN & The New York Times
 
Haijawahi kutokea hata wakati wa Soviet hawakuwa waoga hivi au kuwa na kitete kama hiki
Kwanza ni aibu wa nchi kama US kutishiwa usalama wa raisi wake na nchi kama Iran ambayo wanajifanya kuiona ni wachovu.

Pili hili limezua mjadala mkali wa kumuona trump kama kuwadi na mbinafsi aliepanga kujikoa peke yake huku wafanya kazi wake wote walibaki na kusafiri na ndege walio ogopa ingeweza kutunguliwa na Iran
Kwa maana katika safari nzima waliaaminishwa raisi yuko nao kwenye ndege huku wakiamriwa kufunga vioo vya ndege kwa usalama wao

Wakati mpumbavu trump na mambulula yake walidhani wakitoa hii taarifa wataonekna wako mbele muda na wako imara kumlinda raisi wao, wametengeneza kashfa ya kuwatoa kafara abiria waliobaki na kusafiri kwenye ndege yake ya raisi kwa maswali je ingekuwaje kama ni kweli ingetunguliwa ?
Ina maana hao waliondelea na safari hawana thamani yoyote kama raia wa US?
 
Na siku hizi anaishi kama digidigi, hata kwenda nje anaenda na jeshi zima

1786479179778.png
 
Angalia mbinu iliyotumika kumlinda dhidi ya Iran.

​


Julai 8, 2026, Rais Donald Trump alitolewa kwa siri Uturuki wakati wa mkutano wa NATO baada ya maafisa wa Marekani kubaini tishio linaloaminika dhidi yake kutoka Iran.

Badala ya kusafiri kwa ndege ya zamani ya Air Force One kama ilivyotangazwa, Trump alitolewa kwenye ndege hiyo kupitia kontena la chakula na kuhamishiwa kwenye ndege ya kijeshi aina ya C-32A, iliyomsafirisha kwa siri hadi Uingereza.

Waandishi wa habari waliokuwa kwenye ndege hiyo ya Air Force One hawakuambiwa kuwa Trump hakuwa ndani, hivyo bila kujua wakawa sehemu ya mpango wa kuwachanganya watu kuhusu mahali alikokuwa.

Baada ya kufika Uingereza, Trump alihamishiwa tena kwenye Air Force One ya zamani, kisha akaonekana hadharani akipanda ndege mpya aliyokuwa amepewa na Qatar kwa ajili ya safari ya kurejea Washington.

Operesheni hiyo iliandaliwa ndani ya muda mfupi baada ya maafisa kubaini kuwa tishio kutoka Iran lilikuwa la kweli.


==============

Top administration officials engaged in an elaborate deception to spirit President Trump out of Turkey during the NATO summit there last month, transporting him in a catering container to a military jet because of a threat against him and Air Force One from Iran, two senior U.S. officials said on Monday.

Mr. Trump and other officials had said publicly that he would be leaving Turkey on July 8 aboard one of the older versions of Air Force One rather than a luxury 747-8 donated by Qatar that he had flown in on. Mr. Trump told reporters at the time that he was making the switch for “old time’s sake.”

Mr. Trump boarded the older plane from the left-side door in view of cameras, and news organizations, including The New York Times, reported that he had traveled on it to Britain, where he switched back to the newer plane.

The Times that the decision was driven in part by concern about the security of the new plane donated by Qatar, which had not been equipped with all of the defensive capabilities of older versions.
But instead of flying out aboard that older, powder blue, modified 747, Mr. Trump was whisked off that plane via a catering container that had been lifted to the opposite side of the plane from where the journalists traveling with him boarded, one of the U.S. officials said. The president was then taken to a third plane, which he flew in secret to Britain, the official with knowledge of the matter said.

Reporters on the older plane were not told that Mr. Trump had not flown with them from Turkey to an air base in Britain, making them unwitting participants in the ruse and leaving them, along with some White House staff members, to serve as unknowing decoys.

After Mr. Trump arrived in Britain, he was secretly moved back to the older version of Air Force One. He then disembarked in view of reporters and walked across the tarmac to the plane donated by Qatar, which he flew to Washington.

The elaborate plan appears to have been developed in a matter of hours after officials determined that a threat against Mr. Trump from Iran was credible. It came after years of threats against Mr. Trump from Iran and amid the war he launched against that country. And it was an unusual instance of the public being deceived about a president’s whereabouts.

Officials have not previously acknowledged that Mr. Trump was not where they claimed he was. The furtive operation was reported earlier by the Washington Post which identified the plane that carried the president to Britain from Turkey as a C-32A, a military variant of a Boeing 757.


Source: CNN & The New York Times
Waajemi 😁🙌🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom