Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,642
- 55,267
MapemaHiv matokeo ya texas tayari ?
MapemaHiv matokeo ya texas tayari ?
Kwani sasahivi hatupo Kwenye ukoloni?Mkuu tutakuwa tumerudi kwenye ukoloni,Huyu jamaa anasema akiingia ikulu basi Africa ijiandae kutawaliwa tena
ha haaa haaaaaKaka inabidi uanze mapema kunitumia hela zako western union nikuhifadhie maana naona hali si shwari huko
Imagine eti PA na MI bado mchuano ni mkali...
Hahahaaaa....daaah.
Umesahau sifa yake nyingine siyo mnafikiKwa kweli kusema kweli kutoka ndani ya Moyo wangu,
Natamani sana Trump ashinde Urais wa Marekani.
Sifa yake kuu ni Muwazi,achana na Mama Clinton ambae huwezi kuamini kama alichosema ndicho alichodhamiria.
Safi sana Trump, pamoja na kwamba mimi nilikuwa shabiki wa Ted Cruz, lakini kwa hili lazima tulipongeze hili jamaa maana Dems. nina hasira nao tangu walivyoniulia jembe la Afrika sikuwapenda kabisa!! Piga hicho kimama!!!Na Trump nae 244
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bora tu mtuchekeshe sasaTaarifa nilizozipata sasahivi kupitia vyanzo vya uhakika ni kwamba Jecha na yule jamaa wa goli lamkono wameshatua airport hapo USA.
Unachojua wewe ni kipi ukilete hapa?We ndo ujui bora ukae kimya wakati mwingine Kama ujui Ni bora unyamaze.
Naeza letewa buti aise kama utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana babumapunda lol
Nani winnerMapema
Democrats need to do something hasa katika House of Representatives,wamechemka kweli..Senate election..is going down to the wire..
Na mimj ndo nasonya hapa...inakuwaje PA na MI...manyugus kabisa hawa democrats inabid wajiulize sanaImagine eti PA na MI bado mchuano ni mkali...
Hahahaaaa....daaah.