KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,300
- 743
Umemsahau mu7Go! Go! Go! Trump rais KABILA, KAGAME na NKRUNZINZA mavi yanagonga chupi..!
Umemsahau mu7Go! Go! Go! Trump rais KABILA, KAGAME na NKRUNZINZA mavi yanagonga chupi..!
Mpwaaa mbonaa awatangaziii mshindiiiAir Max ipi? 2017?
so hamuangalii uboraTunamsapoti mwanamke mwenzetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Ninheshangaa,yaan wamrudishe Clinton Whitehouse,hapana wangekuwa wapuuzi kama sisi huku.Nataman DT atangazwe ili abadilishe mindset za watu wetu kutamani kuishi Marekani.Wamarekani wamekataa kutawaliwa na familia zilezile majina yale yale, chama kile kile.
Poleee aisee!!Yaani ila,nilivyo na majonzi ungeniona ungeniachia tu [emoji17]
Duh hatareUke??? peke yake utasaidia nini?
Wallah nimekaa kwenye kochi hapa sina nilichokifanya tangu nimeamka,moyo unaenda mbiooMimi chai imenishinda [emoji24]
Hivyo viapo vya ushindani wa kampeni tumeshavizoea mpk kwenye football endapo team ikishindwa huko huko marekani na ulayawataanzia wapi kuhama....I don't think they take their freedom for granted.
Nilimuona lady Gaga kwenye kampeni za Hillary kwa jinsi alivyokuwa akiongea ungalidhani yuko anawahutubia her ''little monsters''..Hili ni fundisho na funzo kubwa sana kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla.
Putin ni pro TrumpKwa sababu IPI?
we si ndo zako,, kuwekaga hela sehem za kushindwa.. nakukumbuka sana kwa lowassa. bado hesabu za siasa hujazijua weweAsante beste,yani acha tu.
Nimeumiaaaaaaa!
Mhhhhh,kunani?Naona Clinton HQ wanashangilia hapa
Plus Mgabe aisei..!Umemsahau mu7
Latest bro,namba 45Air Max ipi? 2017?
Yaaani shoping usahahahaha
mkuu umetishaa leo lazima putin aende U.S naona sasa atakua anenda state mara kwa mara.