2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

yaani lundo la celebrities za Holywood wakimsapoti Hillary kama CCM na bongo movies ila ndio hivyo tena..si influencial kama tunavyoaminishwa..
Halafu naangalia tbc mtangazaji amenywea sana labda matokeo yanenda kinyume
 
upload_2016-11-9_8-32-53.png
 
lets make america great again. Hatoki mtu hapa Bora tuishi kwa Trump kuliko kwa magufuli
 
Hillary Clinton 'warmonger', dhambi ya uvamizi katika mataifa kwa visingizio vya hovyo inamtafuna.

R. I. P Gaddafi and the rest
 
View attachment 431361
1478669638634.jpg
mange kimambi huyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji24]
 
Putin ni pro Trump
Hata speech za Trump huwa anawafagilia sana Russia
Hauko sahihi. Trump alimshambulia Obama kwa kumsifu Putin kutokana na Obama kuruhusu Putin kufanya anavyotaka kule Cremea na Syria lkn km Trump ataingia atamfurusha Putin popote alipo kwa nguvu zote unaweza kukumbuka kituo kikubwa cha mabomu mazito cha Poland alichojenga Bush. Sasa Trump atavijenga vingi sn yote hiyo ni kuibana Urusi
 
Back
Top Bottom