2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Wamarekani wamekataa kutawaliwa na familia zilezile majina yale yale, chama kile kile.
 
media karibia zoote kubwa zina ripot kuhusu uchaguzi wa Us hakika USA ndo baba lao hao wengine watasubiri saaaana..
USa baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
humu kuna waafrika wanafurahia ushindi wa Trump?

hakuna Rais wa USA atakaye kuwa mwema kwetu.

Trump ni bomu zaidi ya wote.

[HASHTAG]#Asiee[/HASHTAG]
 
DT ashinde jamani nampenda huyu mtu jamani!

DT akishinda majimbo haya Pennyslvania, Wisconsin na Michigan, basi atatangazwa mshindi.

Mpaka sasa anaongoza Pennyslyvania kwa asilimia 48 ya kura.

Bado wanahesabu kura za kutoka vijijini na ndanindani huko kwenye wale wazungu wenye misimamo mikali.
 
Jecha yupo kwa wang'ang'ania madaraka tu...ila kwa wenye utimamu kichwani huwezi kusikia cheo cha Jecha.


basi sio Mbibi tumuite Kibibi kama Kibibi Mange Kitambi...
KUMBE NDIO MAANA HUKU KWETU WANANGANANIA TU....TRUMP SHINDA UTUNYOOSHEE
 
Kumbe utabiri wao mpaka waangalie media kwanza.....Kweli wajinga ndio waliwao...

TB Joahua ni mpiga Ramli mashuhuri wa Afrika
Mkiambiwa watu wanaongoza dini kwa hisia zao wenyewe, mnatuita ant-Christ.

Haya ule utabiri ulitoka wapi? kama ni kwa Mungu, mbona umefeli?..........kama ni kwake yeye mwenyewe, ina maana anaongoza watu wa fikra zake za kibinadamu?

Ndio maana wanawaita kondoo.
 
Back
Top Bottom