2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

ila wenzetu hadi raha... sisi huku matokeo wiki mbili mara masanduku yameibiwa, mara karatasi hazitoshi, mara wasimamizi wamechelewa kufika....Mambo kibao....
Umeona eheee
Sijui lini ce tutafika huko jamani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
You can't separate trump and Putin . Hivi umesahau cyber attack iliyofanywa Na Russians kwenye dhidi ya Hillary Clinton.
Yani wewe ndio hujui kabisa.

Trump hana urafiki na huyo Putin ata kidogo. Tena subiri uone likishinda km midege ya Russia itakua inafurukuta huko Syria.
 
Latest
Donald Trump is leading in Michigan State, you can hear in the back ground cheers all over the state from Trump supporters

Donald Trump 254
Hillary Clinton 215
Source: Fox News Fox News
 
Tatizo lenu watu WA kigoma Ni ubishi . Tuombeane uzima . Am out.
Yani wewe ndio hujui kabisa.

Trump hana urafiki na huyo Putin ata kidogo. Tena subiri uone likishinda km midege ya Russia itakua inafurukuta huko Syria.
 
Najua wengi mmeanza ushabiki wa siasa za Democratic baada ya Obama kuwa president.
Mmesahau ya kuwa siasa ya U.S sio siasa ya Bongo chama kutawala maisha yote mpk mnazeeeka.
Exchange of political parties ni tafsiri sahihi ya neno Democracy.
U.S ni peoples choice to decide who will be their President or Senator.
Don try to confuse U.S politcs with corrupted African politics.
For this election expect to see observe democracy in action.
 
Mpaka muda huu Trump anaongoza kwa 238 sawa na 48.2% dhidi ya 215 sawa na 47.2% za Clinton. Uhakika wa kushinda ni mpaka electral votes 270. Hata udhibiti wa mabunge, Republic inaonekana kufanya vizuri zaidi kuliko democrat. Bado dk kidogo sana Trump aingie WA.
 
Back
Top Bottom