Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Kaka inabidi uanze mapema kunitumia hela zako western union nikuhifadhie maana naona hali si shwari hukoDirty South jamaa ka sweep kabisa aisee.
Kaka inabidi uanze mapema kunitumia hela zako western union nikuhifadhie maana naona hali si shwari hukoDirty South jamaa ka sweep kabisa aisee.
Mhhhhhhh itabidi uniambie jina lako faragha aiseee,same here (niko na jina la kiarab)Poleee aisee!!
Nadhani sisi wenye majina ya kiarabu inabidi tufute kabisa ndoto za kukanyaga US tena..
Na pia tuanze kabisa mazoezi ya kutamka 'President Trump'..
Hilary anaambiwa afanye nini, kwa hiyo Mimi Binafsi simpendi Kiongozi anayetemea Viongozi wengine katika kuongoza.Kwa kweli kusema kweli kutoka ndani ya Moyo wangu,
Natamani sana Trump ashinde Urais wa Marekani.
Sifa yake kuu ni Muwazi,achana na Mama Clinton ambae huwezi kuamini kama alichosema ndicho alichodhamiria.
Didn't you know that D. Trump and Putin are pals?Kwa sababu IPI?
Pole sana ....I'm so frustrated...I don't believe that Donald Trump is about to be announced the US President.
kafanyajeView attachment 431361View attachment 431362 mange kimambi huyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji24]
Bora wewe kwenye kochi,mimi kitandani hata kujigeuza siwezi!Wallah nimekaa kwenye kochi hapa sina nilichokifanya tangu nimeamka,moyo unaenda mbioo
Ok!!!Hapo ndipo mnapoonesha uwezo mdogo wa kufukiri
Acha akimbize maboya wake, wnaomlisha kwa sadakaKwa mara ya ngapi Mkuu?....mimi nasubiri agomee sherehe za kuapishwa DT maana ndio kawaida yake kugomea sherehe za mshindi kama zile za JPM.
Ume bet nin?Wallah nimekaa kwenye kochi hapa sina nilichokifanya tangu nimeamka,moyo unaenda mbioo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taarifa nilizozipata sasahivi kupitia vyanzo vya uhakika ni kwamba Jecha na yule jamaa wa goli lamkono wameshatua airport hapo USA.
Hauko sahihi. Trump alimshambulia Obama kwa kumsifu Putin kutokana na Obama kuruhusu Putin kufanya anavyotaka kule Cremea na Syria lkn km Trump ataingia atamfurusha Putin popote alipo kwa nguvu zote unaweza kukumbuka kituo kikubwa cha mabomu mazito cha Poland alichojenga Bush. Sasa Trump atavijenga vingi sn yote hiyo ni kuibana Urusi