2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Hizo Ni ndoto za kijinga za kiccm . Go trump .

Lakini naona hapa Wajameni kuna California haijasomeka manake kama hawa watu wa Clinton wamefanya mawasiliano mazuri na mzee wetu yule anaefuta uchaguzi wanaweza kuibuka tukashangaa
 
Amefanana na yule mchungaji aliyekuambia utapona then uponyaji ukayeyeka😀😀😀😀😀Hawa wataalam wa dini wanatumia akili ndogo sana kuiba ufahamu wa watu aisee.
akishinda Hillary kwa mfano ungesikia "Maneno ya TB Joshua yatimia"....
 
No Clinton No WW3 Soon. Though Its Bound To Happen. Ni Kama Kumpiga Chura Teke Tu. That Bish's Dirty Deeds Must Have Come To Haunt Her.
 
Latest

Donald Trump 254
Hillary Clinton 209
Source: Fox News Fox News

ap-election-trump-supporters-yell-ps-161108_4x3_992.jpg
 
Clinton sio ndio anatetea ushoga?

[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
 
Nchi zote uchaguzi ungelikuwa open kama US, ingekuwa poa sana. Sijui maviongozi yetu hayaoni haya yanapoona wenzao mila kitu kinawekwa wazi.
 
Back
Top Bottom