2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Poti vipi! Hebu tupe mrejesho huko mambelezz kinachoeldelea!

Duh..I cant believe this. Lakini siku zote I have never trusted these liberal media (plus Gurdian in the UK)

I have always said that the only poll that counts is the one on election day.

Am I wrong?
 
1478667387659.jpg
VLADMIR PUTIN HUYO AKIYAPOKEA MATOKEO[emoji23] [emoji23]
 
Duuu Trump akishindaa si kila kona ya dunia kutakuwa na vita lakini au??
Hata Tz muliogopa kuwapa nchi wapinzani kwa kuhofia udkteta
Mukampa MTU mmoja serikali
Leo hii yaleyale
So usiogope MKUU
Waache waje waitawale Africa yayo mana tume pata Uhuru Na hatutaki kuishi kwa Uhuru
Mara 1000 utawaliwe Na mkoloni mzungu utapata japo mitumba
Kuliko mkolon mweusi ninjas tu
 
A modern day political miracle!

If he wins this thing he would have done it against all odds.

Surreal!

Nyani it not surreal!

Establishment (especially supporting media) inabidi wajitafakari. These kind of politics will become new norm. Look the likes of Magufuli, Durtete nk...common wananchi no longer feel adequately represented by mainstream politicians. However I agree with you in US....DT will have pulled a miracle of the century!
 
Back
Top Bottom