Jecha yuko wapi anahitajika huku....huyu Trump si mtu mzuri kabisa...
Wamarekani wamechoshwa na majina ya kina Bush na Clinton sasa hawataki kusikia hayo majina tena!Nilitamani Hillary ashinde Duh
Hawana namna...Imewauma sana....Hawa walokuwa Pro-Clinton...According to BBC
Trump 244
Hillary 209
Zile kumi zimeenda wapi??According to BBC
Trump 244
Hillary 209
Naangalia ccn na bbc tu hzo nyengine sizijuiZile kumi zimeenda wapi??
Putin hawezi kufurahi hayo matokeo kwasababu Trump atampelekea moto mbaya sn....Mtu ambae atafurahia matokeo haya ni vladmiri putin rais wa urusi
Na trump anashinda kuwa rais wa marekani ni michigani tu inasubiriwa hapa anakoongoza trump
Andaa mbuzi mkakune naziNilitamani Hillary ashinde Duh
haaa Mange anasema Trump anashinda kwasababu ya wamarekani washamba washamba...Mange kimambi uko wapiiiii[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Mechi bado mbichi. Mahesabu ni magumu kufikia 270 kwa wote ingawa trump Ana ka advantage. Clinton lazima ashinde michigan. Akishindwa ngoma imeisha.