2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Kina ngabu nao
7403db16e259dbb26350ac77274ee32c.jpg
hahahahahhahahaahahahahahahah lol mnautani mwingi nyie .
 
Donald Trump anakuwa Rais wa USA

America haiongozwi na mwanamke[emoji23]
 
Hakukosea Mkuu na jamaa siku chache zilizopita nilimuona nadhani alikuwa CNN akaulizwa kwanini hujitoi wakati unasema kati ya Trump na Hillary unamuunga mkono Hillary? Na unajua fika kwamba kama uchaguzi ukiwa close few percentage points unazochukua unaweza kumpa nchi Trump usiyemtaka? akajiuma uma tu na kugoma kujitoa.

Obama aliwambia mkipiga kura kwa gary jua umempigia trump
 
Back
Top Bottom