Amesema hivi trump akiwa rais USA itakuwa nchi ya aina gani?!....hana rahaChris Mathew is in tears
Nadhani akina Obama sasa hivi wamepigwa na butwaa hawaelewi nini kinachoendelea.
Kwa kweli kusema kweli kutoka ndani ya Moyo wangu,
Natamani sana Trump ashinde Urais wa Marekani.
Sifa yake kuu ni Muwazi,achana na Mama Clinton ambae huwezi kuamini kama alichosema ndicho alichodhamiria.
Mkuu..
Unamaana Jecha Lubuva wameshatia timu kwenye Electoral Commitee..??
Ngoja tuwasubirie wapindue..Hahahah
Trump atakwama kwenye electoral votes mkuu. Na asikwambie mtu hizi ndiyo huamua rais kaka. Hizi nyingine kiini macho tu.Mkuu..
Unamaana Jecha Lubuva wameshatia timu kwenye Electoral Commitee..??
Ngoja tuwasubirie wapindue..Hahahah
Nshachoka.....
Al Jazeera Hillary vs Trump 209-216
sky news hillary vs trump 209-229
Bloomberg Hillary vs Trump 197-222
NBC News Hillary vs Trump 209-228
ABC News Hillary vs Trump 209-228
Nieje mzee!![emoji23][HASHTAG]#makeamericagreatagain[/HASHTAG]
[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
Pakia mizigo kijana urudi nyumbani.Ni kweli latino si majority lakini participation yao kwa wingi inaweza kabisa kubadili matokeo na GA kuangukia kwa Hillary wakati hii ni Red State.
trump 232
clinton 209
We tazama media mbalimbali utagundua Trump anaongoza.....Japo takwimu zinatofautiana,lakini so far karibu zote zimekiri anaongoza..Naomba mwenye link iliyo neutral aiweke hapa!maana nyingi za humu aidha ni pro-clinton au pro-trump!
Usiku?Si unajua tena, USA saa tano unusu saa hizi.
Nyani ngabu sema haki ya munguGeorgia goes Trump....hahaaa shocker.
Trump sasa yupo 254.
Yupo EV 16 tu kuingia WH.