2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Hii shughuli bado bado sana kusema fulani ameshinda, halafu hizi media zingine msiziamini sana. Kuna uhuni kwenye kutoa matokeo, nyingi hazipo neutral
 
Game inaenda ukingoni... bado kura 20 tu Trump anaingia rasmi white house!! Ngoja nifanye jogging kabisa!! Bibi bomba kashaachwa kura 30 huko bado mnamatumaini??? Soon mpira unaenda kati!!
Mechi bado mbichi. Mahesabu ni magumu kufikia 270 kwa wote ingawa trump Ana ka advantage. Clinton lazima ashinde michigan. Akishindwa ngoma imeisha.
 
wamarekani ni watu makini sana wameyapuuza ya wanasiasa wamefuata ya wafanya biashara
 
Trump atashinda uraisi na kura za kumpa urais zipo michigan anakoongoza
Jombo hili lina kura 16 na ndie anaeongoza huko
 
upload_2016-11-9_7-59-27.png
 
Mange kimambi uko wapiiiii[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
Hii shughuli bado bado sana kusema fulani ameshinda, halafu hizi media zingine msiziamini sana. Kuna uhuni kwenye kutoa matokeo, nyingi hazipo neutral
Media zote zinatangaza matokeo sawa Trump anashinda na anashinda big
 
Asante kwa update mkuu naona mambo yamekuwa tofauti na watu walivyotegemea aiseeew
Sio kwamba mambo yamekuwa tofauti ila ndo yalivyo. Tatizo wewe ulidanganywa na propaganda za CNN na BBC ambazo zilimpaisha sana Clinton. Na ndizo zilizopekekea hata media zetu kuwa na mtazamo huo si unajua tunavyokopy na kupaste.
 
Back
Top Bottom