KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
hivi hizo 270 ndo nini?
na zipo katika unit gan?
Explabnation ya electro collage ni ndefu, jaribu kuoougle mkuu
hivi hizo 270 ndo nini?
na zipo katika unit gan?
ThubutuuuuJamani 20/01/2017 Nitakuwa Marekani kushuhudia akiapishwa raisi wa watu wa Marekani Clinton.
Yeah kuwaua magaidi na vinganganizi wa madarakaDuuu Trump akishindaa si kila kona ya dunia kutakuwa na vita lakini au??
Hahahahhh Hapana chezea wabongo
Trump 254, Clinton 209
braza usisahau kurud na ile air jordan mguu wangu no.45A modern day political miracle!
If he wins this thing he would have done it against all odds.
Surreal!
Yeah kuwaua magaidi na vinganganizi wa madaraka
Anaongoza majimbo mengi .matokeo tayari?
Hii latest mbona haibadiliki au hawahesabu tena??
Fox ni upande wa trump..wanakojua watashinda hata kama bado matokeo kutoka wao wanatoa..by the way trump ameshashinda16 EV Mkuu as per Fox News tayari ana 254 EV
Being rich does not make you a nocturnalHahahaaaa I'm a rich son of a respected late professor.
Dad left me a lot of money when he passed on.