Same here...I am in [emoji24] [emoji24] [emoji24]He is not alone Mkuu, so many people are in tears right now and some of them are white people just like him.
Chakula cha kuku hiiTrump Uyeeeee, shinda uje ututawale baba!
Tumeshindwa kujitawala
Ukishakuwa mwangalia TBC basi unakaa ki-TBC TBC tuu.. mchuano umeisha watu wapo vyumbani sasaClinton 209
Trump 216
Mechi bado mbichi sanaaa hii coz mudaa bado na ndio kwanza wanafukuzana so hapa kila kitu kitaenda vizuri tu.....
Mkuu Ngabu hivi huwa unalala saa ngapi. Coz you are online in JF 24/7 . Am afraid maybe you are a homeless man or a robot! Joking thoGeorgia goes Trump....hahaaa shocker.
Trump sasa yupo 254.
Yupo EV 16 tu kuingia WH.
We si ylikuwa unamshabikia Kibibi Clinton...?Ni usiiiiiikuuuu mtakaaaatifuuuu wengineeeee walalaaaaaaa wakeshaoooo n wachacheeee tuuuu naaaaaa Trump WA rep
Wampe ushindi..!!Mchuano umeisha mkuu!!
Sababu uchaguzi wa Africa majibu hujulikana kabla ya kupiga kura..!Mbona watu wanashabikia sana uchaguz wa marekani?
What a ******A modern day political miracle!
If he wins this thing he would have done it against all odds.
Surreal!
Ngabu ni kampuni..Mkuu Ngabu hivi huwa unalala saa ngapi. Coz you are online in JF 24/7 . Am afraid maybe you are a homeless man or a robot! Joking tho
Atunyooshe mimi na we we, afrika tumekalia ufisadi na ubinfsi Wa madaraka.Awanyooshe akina nani?
😀😀😀😀😀😀
Same here...I am in [emoji24] [emoji24] [emoji24]