2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Nilikua kwenye uzi huu tangu umeanzishwa lakini sikutaka kuchangia chochote, lakini nimesoma post ya kila mmoja aliye post humu.
Acha na mimi nichangie hili. Kutoka Hillary Clinton HQ, John Podesta Campaign Manager wa Clinton amewaomba watu waende nyumbni wakalale na taarifa zaidi watawatangazia hapo baadaye.

Mkuu..
Nawewe ni mmoja wao nenda kalalee..
Hahahahahaaa..
 
Walai huyu mbabu Trump akifanya kama vile alivyosema tutawaliwe tena mi naogopa nchi yangu kutawaliwa na waarabu . wewe je?
218 mama
babu yako 266

algore katangazia wafuasi wa clinton wakalale clinton haongei na mtu leo.........
 
Sahau.hawezi kushinda tena. Trump anaongoza pakubwa na likely atashinda maeneo yalobakia
Tusiishi kwa mazoea, kama trump kashinda kwenye ngome ya clinton, ye clinton atashindwaje kushinda kuliko baki,
Mama kagoma kuongelea chochote, hatuwezi kumpa uraisi huyu jambazi
 
Back
Top Bottom