2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Nilikua kwenye uzi huu tangu umeanzishwa lakini sikutaka kuchangia chochote, lakini nimesoma post ya kila mmoja aliye post humu.
Acha na mimi nichangie hili. Kutoka Hillary Clinton HQ, John Podesta Campaign Manager wa Clinton amewaomba watu waende majumbani wakalale na taarifa zaidi watawatangazia hapo baadaye.
 
Ebu CCM waweke mazingira huru ya uchaguzi kama ilivyo Marekani, halafu uone kitakachotokea....ndiyo, vyama vinaweza kuwa na matatizo (naamini ni kawaida), lakini mfumo na mazingira ya uchaguzi hayatoi fair grounds kwa vyama pinzani...chama tawala kinatumia state apparatuses kujipatia ushindi...

Tutasema Lowassa, mara CHADEMA wapiga deal n.k., lakini tunasahau kwamba unfair election grounds zimekuwa zikitunyima watanzania nafasi ya kufanya mabadiliko. Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko, lakini kwa mazingira ya sasa wananyimwa hiyo fursa.
Ata huko USA bado hakuna Uhuru tena huko kura hazihrshimiwi km kwetu huku.
 
1478675408519.png
Naruhusu mapovu.
 
Kura nyingi DT kazipata sehemu ambazo ni untapped, huko maeneo kama virginia ndani kwenye core evangelicals na strong holders wa american values, sasa chadema mkijikita na Dar, Arusha, kilimanjaro na Mbeya msahau, plus chadema ya mbowe bado na haitokubalika kamwe.
Uwe na aibu kidogo, unawezaje kulinganisha demokrasia ya US na hapa Tanzania, umeona kiongozi yoyote wa chama, say Obama anateua tume ya uchaguzi, or whatever it is. Grounds za uchaguzi za marekani zipo fair sana mara elfu kuliko Tanzania.
Nadhani kuna haja ya huyo Trump kulazimisha tume huru za chaguzi kwa vinchi vya kidikteta kama huku kwetu halafu uone kama mtaendelea na wizi wenu.
 
Kura nyingi DT kazipata sehemu ambazo ni untapped, huko maeneo kama virginia ndani kwenye core evangelicals na strong holders wa american values, sasa chadema mkijikita na Dar, Arusha, kilimanjaro na Mbeya msahau, plus chadema ya mbowe bado na haitokubalika kamwe.

Acha Ushamba.
Kama unapenda mjadala wa siasa Tanzania,Jadili na kilichotokea kwa CUF Zanzibar.
Usisahau na ripoti ya waangalizi wa Uchaguzi ule.
Karibu Trump,tuna imani nawe.
 
Walai huyu mbabu Trump akifanya kama vile alivyosema tutawaliwe tena mi naogopa nchi yangu kutawaliwa na waarabu . wewe je?
 
Trump.
No WW3 Soon.
Mange Chaliii,Rudi Bongo Polisi Wakudandie Kama Simba Kamuona Swala.
Ila First Lady Stripper Dah.
 
Back
Top Bottom