MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,258
- 6,815
Hayoooooooooooo yanalia hayoooooooooo
Hayoooooooooooo yanalia hayoooooooooo
Apite tu namkubali balaaaLibabe sana hilo lizee. Na anavyopenda watu weusi sijui kama marekani nitaenda tena
As if you will live forever!!huyo yuda iscariote hatuhusu!
mnafiq mkubwa! azikwe asizikwe mtajijua wenyewe!
Wakafie mbele...we don't need the monster
Umefikia wapi swala lako LA kuhama maana uzi wako umeukimbia kuleKuingia marekani mpaka unyoeendevvu
Ungefuatilia campaign za DT ungejua kuwa ayo ni matamshi yake kuwa ata deal na ving'ang'anizi kama Mgabe na wengine Afrika.naomba kueleweshwa huyo trump atawanyoosha vp madikteta wa africa au watu wanaongea tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuingia marekani mpaka unyoeendevvu
Angekua anataka kujitegemea angeomba kujengewa uwanja na msikiti???Africa ni wavivu sana ndiyo tatizo hasa Tz ndiyo maana anacho kifanya Magufuli tunamwona kama dictitor ndiyo maana Magufuli alishtuka mapema akasema tujitengemee!!! Trump akiingia whitehouse misaada itapigwa ban
Jiandae kurudi broIt's raining misery in Brooklyn....
Republicans will retain control of the senate.
And they have the House and very likely the White House.
Wowzers.
Trump hawezi kuja kufanya kitu Tz mkuu, zile ni mbwembwe tu za kampeni.
**Team Trump**
Dunia lazma iendane na kasi ya Trump.
Kupata kura 55 tena kutoka kwa watu wenye akili na uwezo wa kifedha ni nyingi mno !!
Watu walijiaminisha sana, ila huyu jamaa acha auchukue urais, kwa zile kejeli na mikingamo angekua mwepesi mwepesi angeshaachia ngazi...I like the guy.