Na trump alivyomuhuni atawakumbusha ahadi yao ya kuhama. JPM awakaribishe tanzaniaHili nalo neno nilikuwa nawazia hawa.... Aise viapo vingine vibaya....
Kweli aisee ilikuwa safari ya milima na mabonde.Ni wakati wa kujipongeza
kasome BIBLIA vizuri maandiko matakatifu ya MUNGU,Ukiona Nabii anaanza kutabiri juu ya matokeo ya mpira wa kidunia kwamba Nigeria itapoteza mchezo kama yule pweza wa Kombe la dunia kule Japan 2002; ama ndege kuanguka baharini ujue hapo kuna shida. Akitabiri kifo cha Rais fulani bila sababu ya Kimungu inayojulikana hiyo ni shida kubwa zaidi. Mungu anasema "Muwabariki watu na msiwalaani". Unabii Katika Maandiko ulilenga zaidi kwa watu wamrudie Mungu. Haya mengine Nani atashinda urais ni nje ya muktadha wa unabii wa Maandiko. Mungu kweli alisema Koreshi atatoa agizo lake na Yersualemu utajengwa. Ama Yusufu atakuwa mtawala wa wengine. Yote yalilenga makusudi yake muhimu.
Aise hapa nina kimuhemuhe...trump asije tu kupitwa dakika za mwisho ...mana hapa namfikiria tb joshua na utabiri wake
Amka ndotoniBado nina imani mama clinton ndie raisi wa marekan, trump ni moto wa mabua tu
Huyu kibampa ni mpiga ramli na dili za mjini akitumia akili finyu za wafuasi wakeCC TB Joshua
Alishinda mkuu tatizo ni huu uchwara kwenye tume!! Trump hoyeeeeeKwa mara ya kwanza ameshinda mgombea niliekuwa namtaka mimi.... Uchaguzi wa Tz nilipenda ashinde lowassa lakin ikashindikana
Lowasa alishinda ila sisiem walitumia jeshi kujipa ushindiKwa mara ya kwanza ameshinda mgombea niliekuwa namtaka mimi.... Uchaguzi wa Tz nilipenda ashinde lowassa lakin ikashindikana