2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Tusiishi kwa mazoea, kama trump kashinda kwenye ngome ya clinton, ye clinton atashindwaje kushinda kuliko baki,
Mama kagoma kuongelea chochote, hatuwezi kumpa uraisi huyu jambazi
Mkuu kwa sasa hatuongelei utabiri tena tunaongelea matokeo . mama kugoma kuongea kwa sasa haitosaidia.Trump anaingia White house. Haya madikteta ya huku afrika wajiandae tu hakuna namna.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Tusiishi kwa mazoea, kama trump kashinda kwenye ngome ya clinton, ye clinton atashindwaje kushinda kuliko baki,
Mama kagoma kuongelea chochote, hatuwezi kumpa uraisi huyu jambazi
Wewe unamwona jambazi, wenye nchi yao wameamua kumpa nchi jambazi.
 
[QUOYoE="Diva Beyonce, post: 18408304, member: 213205"]Acha dharau wewe za kijinga hopeless kweli wewe[/QUOTE]
Ulivyochukia? Naona angekuwa eneo ambalo kiganja cha mkono wako kinaweza kumilki angekuwa anatokwa na machozi kama si kupoteza haadhi ya meno yake.
 
Tulia umpikie mumeo ndani, acha kiherehere.... Unadhani taifa Kama Lile lenye maadui milion linaweza kuongozwa na mtu anayechuchumaa.... Shubabiti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Trump
c6acde7c1559e2f17c6c46e68926c724.jpg
 
Kama huamini US ni taifa kubwa, then jipange tena. Nchi ambayo kuna maeneo yanapishana around 6 hours lakini matokeo ya Urais yanapatikana siku hiyohiyo
Na hapa unaongelea wapiga kura kama million 130.
Pia matokeo yanasomwa kama kura zilivyopigwa sio kuyasoma 'kama mwenyekiti wa tume alivoletewa'!
 
Baada ya Wikileaks kutoa email nyingi za Hilary Clinton wiki mbili kabla ya uchaguzi wa Marekani ndio imemletea Hilary Clinton kushindwa uchaguzi mkuu wa Marekani. Kabla ya Wikileaks kutoa email hizo zilizoonyesha udhafi wa huyu mama,Clinton alikuwa anaongoza kwa asilimia 12 za kura.
Kuwa na vyombo huru vya habari ni muhimu sana kwani bila Wikileaks Hilary Clinton angeingia ikulu ya Marekani na machafu yake.
 
Back
Top Bottom