Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
trump hoyeeeeeeeeeeeee
[emoji15] [emoji15]Wamarekani sio watu wa mchezo mchezo..... Unataka upeleke menopause yako kule White House??? Pumbavuuuuuuuu.
Huyu jamaa alikuwa bega kwa bega na Trump...Hata wakati ule Trump anakimbiwa na kina Paul Ryan, Ted Cruz jamaa alikomaa na Trumpkama vile naona BEN CARSON akishika nyazifa za juu amerca he is a donald suppoter.
Senate race is closed, is for Rep. the House race is closed, is for RepSenate Races:
Democrats leading in 37 and GOP leading in 31.
[emoji15] [emoji15]Wamarekani sio watu wa mchezo mchezo..... Unataka upeleke menopause yako kule White House??? Pumbavuuuuuuuu.
Ukiwa ndani ya NATO inakua salama Zaidi na anaetoa pesa nyingi ktk NATO ni USAUjerumani nae hv anamtegemea USA kiulinzi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado nina imani mama clinton ndie raisi wa marekan, trump ni moto wa mabua tu
Na ndio maana viongozi wanakuwa na chuki na wananchi kwa sababu wanajua hawakuwachaguaNi kweli mkuu ccm hutumia majeshi kuiba kura
Acha dharau wewe za kijinga hopeless kweli weweWamarekani sio watu wa mchezo mchezo..... Unataka upeleke menopause yako kule White House??? Pumbavuuuuuuuu.
Wewe unawaza uchama tuKura nyingi DT kazipata sehemu ambazo ni untapped, huko maeneo kama virginia ndani kwenye core evangelicals na strong holders wa american values, sasa chadema mkijikita na Dar, Arusha, kilimanjaro na Mbeya msahau, plus chadema ya mbowe bado na haitokubalika kamwe.
Me tooKwa mara ya kwanza ameshinda mgombea niliekuwa namtaka mimi.... Uchaguzi wa Tz nilipenda ashinde lowassa lakin ikashindikana
Asije akawa km JechaKigodoro kimeingia maji....Podesta kawaambia watu waende wakalale....
Imebidi awaruhusu wakalale tu!!Huyu mwenyekiti wa demo anawapa moyo wafuasi wake....