2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Watu walijiaminisha sana, ila huyu jamaa acha auchukue urais, kwa zile kejeli na mikingamo angekua mwepesi mwepesi angeshaachia ngazi...I like the guy.
Kansas ANAAKILIII MBWA WAKWANZA AWAONDOEWALE WALIOMPINGA KWENYE CHAMA CHAKE
 
Watu walijiaminisha sana, ila huyu jamaa acha auchukue urais, kwa zile kejeli na mikingamo angekua mwepesi mwepesi angeshaachia ngazi...I like the guy.
Maisha ndivyo yalivyo, uantakiwa kukomaa mpaka mwisho.
 
''kwa mwendo huu,ushindi wa Hillary Clinton utakuwa wa maajabu na kushangaza watu''
 
wewe utakuwa unatumia mkuundu kufikiri pumbaavu kabisa
Amegonga penyewee eeeh!! Fvuck the media, lowassa nae ilikuwa hivi hivi kila gazeti oooh lowassa oooooh lowassa, uchaguzi ukaja watanzania wenye nchi tukachinja ghafla oooh tumeibiwa mbona media ilionyesha tutashindaaa, nyambaaaaffff!!!
Safi sana, media ni upuuuzi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kuna wengine wanashangilia eti ashinde DT aje awanyooshe madikteta na magaidi,wanachosahau ni kuwa watakaoumia zaidi ni watu baki kama wao.marekani anapokwenda kushambulia waarabu huko anaowaita magaidi,na kwa kuwa nchini kwao marekani wanakuwa wameweka ulinzi wa ziada...hao magaidi option rahisi kwao inakuwa ni kushambulia maslahi ya marekani popote duniani.....ndio hapo yatakapoibuka mashambulizi kama yale ya ubalozi wa marekani hapa tanzania na kenya.sasa ombea wahanga wa mashambulizi hayo wasiwe tegemezi yako kama wazazi etc maana kama itatokea wakawa wahanga ndio utaona maana halisi ya ushabiki wako.kwa dunia ya sasa sio muda wa kushabikia mtu anayetaka kupambana na kosa lolote lile kwa kutumia nguvu maana watu wa kufight back wanaongezeka sana sio kama zamani wa ndio mzee....neno lako ni sheria!!!
 
Back
Top Bottom