2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Huyu mwenyekiti wa demo anawapa moyo wafuasi wake....
 
Huyu John Podesta naona bado anajipa moyo!!
 
Kwa sasa hivi Trump, anaongoza kwa 264 zidi ya mpinzani wake 215, na mshindi anatakiwa afikishe 270
8a0fefea447374208355e5aee8715d3a.jpg
25ec450c953e2c04ffec6ad074741b7d.jpg
218


266
 
[emoji54][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtangazaji anaeripoti live ITV kutoka marekani Anaitwa Frank morand
*anaonekana yupo ndani (chumbani) sio kwenye vituo.
*amevaa cheni shingoni
*amevaa Tshirt
*anazungumza kama anapiga stori hazungumzi kama mwandishi wa habari proffessional
 
karibu sana ufundishe demokrasia katika bara hili .utawala wa sharia ,na haki za binadamu.
 
Amegonga penyewee eeeh!! Fvuck the media, lowassa nae ilikuwa hivi hivi kila gazeti oooh lowassa oooooh lowassa, uchaguzi ukaja watanzania wenye nchi tukachinja ghafla oooh tumeibiwa mbona media ilionyesha tutashindaaa, nyambaaaaffff!!!
Safi sana, media ni upuuuzi.
Tulia dawa isonge
 
hata mm aiseehh!!
.mwanamke ila sitamani ashinde..
Sio Marekani tu, ni dunia haiko tayari kwa mwanamke.
Sababu mojawapo ukitoa wenye nchi ya marekani wanaitaka nchi yao, kilichopo katikati ya inapokutana miguu ya HC kimemponza sana, niliona ktk Tv ya France 24 English, wanawake wa marekani walikuwa wanasema hawatamchagua HC sababu ni mwanamke na wao hawako tayari kuongozwa kwa hisia, wanataka mtu mwenye kufanya maamuzi magumu.
 
Huyu ni mwanaume wa shoka.Wale wa Kigoma "Umugabo yinduka ku buhlili nt`induka kwi jambo.Trump alitoa makavu wakati wa kampeni zake Ili umtambue mapema jinsi alivyo na wenye nchi yao wameitikia.Ss tunalalamika nini.Dunia nzima tukubali yaishe.
 
Kwa kweli ningefurahi sana kama Tz ingekuwa na vyama viwili vikubwa vya upinzani, ukiboronga tu muhula wako watu uchaguzi ujao tunakutoa, na pia kuwa ma katiba nzuri ya kuwabama watu watakaokuja kukaa miaka 5 tu ma kujijengea mazingira ya kupata pesa!!
Ila tutafika tu.
Ebu CCM waweke mazingira huru ya uchaguzi kama ilivyo Marekani, halafu uone kitakachotokea....ndiyo, vyama vinaweza kuwa na matatizo (naamini ni kawaida), lakini mfumo na mazingira ya uchaguzi hayatoi fair grounds kwa vyama pinzani...chama tawala kinatumia state apparatuses kujipatia ushindi...

Tutasema Lowassa, mara CHADEMA wapiga deal n.k., lakini tunasahau kwamba unfair election grounds zimekuwa zikitunyima watanzania nafasi ya kufanya mabadiliko. Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko, lakini kwa mazingira ya sasa wananyimwa hiyo fursa.
 
Back
Top Bottom