"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....



R' naona mambo yako yooote yapo kwenye mstari mpaka nakuonea wivu.....lol..

Hongera bana for it is rare .... ILa tu am curious mbona unakwepa kuniambia nini exactly mipango yako mwakani?
 
Hasa ninaingia kwenye consulting business, lakini kuwa independent kutafanya iwe rahisi kwangu kumanage kilimo na changamoto zake.

Nitakupa updates bila ya shaka....hasa nitakapoanza kuvuna!



SMU.... I like the sound of the colored....lol... Napenda kweli kusaidia kuvuna.... (maana najua siwezi kosa kitu hapo) So SMU the consultant.... I see...
 



hahahah.... Jeff baada ya kuona ile habari pm tushaikamilisha nilikua sina jinsi nikualike so that you know all is good... and consider you as a friend tayari.....
Umenifurahisha maelezo yako ya afya kama alivosema hapo mzee DC....lol.... BUT nashukuru kua you are doing good, kwamba mengi ya mambo yako yameenda mrama, kwamba you have plans ya kuongeza elimu (which is good) na kwamba una mpango kabambe wa kupata wa Ubavu wako.

Upande wa ubavu wako nisiiongee mengi maana nitajirudia....lol.... Naomba niseme tu kua BEST OF LUCK katika mipango yako yoote na hopefully you succed kwa nguvu za Mwenyezi Mungu. Hivo nakuombea pia afya njema for your post imeonesha it is one of the most important of all....
 
@ Red, leo ndio nimegundua kwanini unasisitiza zile Lunch!!, hhaaa hhaaa
 
Ulikuwa mwaka mbaya sana kwangu, bora tu uishe
 
@ Red, leo ndio nimegundua kwanini unasisitiza zile Lunch!!, hhaaa hhaaa



hahahaha!! Kivumah wewe, yaaani umeona u-comment hilo bila kuchangia? C'mon rudi hapa ili uepuke adhabu ya kuniquote kote huko na kuishia kuandika mistari miwili....
 
R' naona mambo yako yooote yapo kwenye mstari mpaka nakuonea wivu.....lol..

Hongera bana for it is rare .... ILa tu am curious mbona unakwepa kuniambia nini exactly mipango yako mwakani?

AD duh asante sana kwa hayo
Ila mwakani uzima wa Mungu ukiwepo ni mengi nimeyapania ikiwemo kuongeza kakibanda kamoja na unajua tena kuendeleza biashara tulizo nazo kiasi ili tusitegemee tuu mshahara bana lol
 
RR mbona kumekucha au unataka kusema kwako bado ni usiku.
Afu mbona na wewe hulali
 
Among the few, i have been able to achieve the following.....
.I Get My Dream Job
.I have a wonderful fiance and best friend!!
.same to you
Nimekua exposed to JF. Hapa ni mambo lukuki nimepata.... Great Friends.... More Networked..... Intensive Knowledge... Entertainment.... Great discussions...
.kama kijana katika maisha tuna chalenges nyingi katika ulimwengu huu wa sasa mojawapo ni gonjwa la ukimwi this year nimefanikiwa kuwa na courage ya kupima na kujua status yangu kitu ambacho kinanisaidia sana kupanga malengo yangu
.get my family back

mwaka ujao (Mwenyezi Mungu akinipa Uzima) the following ndio mipango yangu....
kufunga ndoa
kupata mtoto
mengine kadri mungu atakavonisaidia
 
AshaDii.. Thanks for the remainder...Mimi binafsi..

Mafanikio:
  • Namshukuru Mungu ..Familia yetu bado iko imara..hatukupata mikwaruzo yeyote..
  • Baada ya miaka au miongo kadhaa nilipata courage ya kufanya uamuzi wa kusitisha mizunguko mashariki ya mbali na hivyo kurudisha majeshi kupambana na maisha katika ardhi ya nyumbani..Kwa mapenzi ya Mola ndani ya siku chache zijazo tutakuwa back nyanda za juu kusini tukila kumbikumbi na kunywa ulanzi ...
  • Baada ya kuwa mpita njia kwa miaka kadhaa..nimeweza kupata..ID ya JF na kuweza kupiga porojo za hapa na pale...
  • Vingine ni vya kawaida..
Matarajio yangu 2012:
  • Mama watoto ataendelea kuwa na msimamo wake wa kuniita mimi Mume..Na pia tutaendelea kubishana kama kawaida kwa faida ya familia..
  • Baada ya S&P ku-downgrade US rating from AAA to AA+… S & P wataendelea ku-keep rating yangu ya kuwa baba wa familia at AAA..kwani kushusha hiyo hadhi kutaongeza spidi ya kunywa ulanzi..Binafsi nategemea kupigana ili hiyo rate ibaki triple A..
  • 2012 Natarajia Kuwa mjasiriamali hasa katika kilimo kwanza..Kuna kitu kingine nafikiri nitafanya na kitawasaidia watu wengi..
  • Nategemea kupunguza muda wa kunywa ulanzi ili kuwa karibu na washkaji zangu hapa nyumbani ili kufuatilia maendeleo yao ya shuleni na huko kindergarten..tunategemea pia kuboresha ile timu yetu ya mpira..hasa kwa kumlazimisha mama yao kujoin nafasi ya ushambuliaji..
  • Kujitolea kwa vitendo katika huduma za jamii, familia na wale wenye matatizo ili angalau kuonyesha toba ya kweli kwa Mola ili apate shida kunitupa motoni kwa makosa yangu ya miaka ya nyuma..
  • Kuendelea kupiga porojo hapa JF na kubadilishana mawazo nikitumia "kapiliensi" ..ohh sorry.. Experience yangu ya Maisha..
 
Duh! AD umenikurupusha nilikokuwa..
Kiukweli 2011 has been an awesome year for me..
Most of my plans have been fully achieved..
However, a distant relationship awkwardly has reckoned me to rethink about in 2012..
GOD has and will remain to be a centrality in all proposed plans for now and then...
thanks:A S 465:
 
AD duh asante sana kwa hayo
Ila mwakani uzima wa Mungu ukiwepo ni mengi nimeyapania ikiwemo kuongeza kakibanda kamoja na unajua tena kuendeleza biashara tulizo nazo kiasi ili tusitegemee tuu mshahara bana lol

Uko juu aiseee.... Hongera saana. Inapendeza vijana wanapokua na mafanikio.... Hopefully huna mpango wa kuongeza nyumba ndogo....lol

Nyie watoto hamlali???

RR mbona kumekucha au unataka kusema kwako bado ni usiku.
Afu mbona na wewe hulali

Niseme tu ukweli I did not see the time passing. Imebidi niamke tu sasa...


R' na Roulette mmenifanya niwange peke yangu usiku mzima nika log off ndo mmekuja? aaarrrrggg! lol:alien:
 


I am impressed kid sis.... REALLY..... Dah!

So mwakani tutakukalisha chini na kukufunda jinsi ya kua mke mwema? NIMEFURAHI.... Hongera kwamba you have a wonderful Man, jitahidi tu um-maintain awe in your grip.... Good men are few nowadays, hivo ukimpata......

Nakuombea Mwenyezi Mungu aweze kufanikisha mipango yako kwa mafanikio kabisa..... ila kama ndoa mwakani.... Do you plan on marring ukiwa na mimba? maana ndoa na mtoto - hamna hata breathing space ya kula kwanza maraha? lol

Missed you Dear...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…