MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Wana JF nawasalimu wote.
ni Mtazamowangu kwamba tumekuwa waelimishaji,wachambuzi,wakosoaji,waelevu, walekezaji wazuri sana kupitia Forum hii katika masuala yote ya kijamii,kisiasa,utamaduni,kiuchumi....
viongozi wengi wa kisiasa,kidini,kijamii na wengine wamekuwa wakitumia forum hii katika kupata mawazo mbadala,kujenga hoja zao na mengine mengi.
JF pia kwa asilimia kubwa tumekuwa wasemaji wazuri sana kuhusu uongozi tuliokuwa nao, kwa mtazamo wangu nimeona asilimia kubwa sana hatujarizika na utendaji wa uongozi wetu wa nchi na hatufurahishwi na vitendo vingi sana vinavyofanya na viongozi wetu wa serikali na idara zake, kwa maana hiyo tunakubaliana kama tunahitaji mabadiliko.
huu ni mwaka 2010, mwaka ambao tutafanya uchaguzi wa viongozi wetu, ni nafasi kubwa sana kwetu kuinfluence changes, but ALLWAYS CHANGES BEGIN WITH YOU....
NATAKA TU NIJUE JE WANAJF WANGAPI WAMEJITOLEA KUGOMBEA NGAZI TOFAUTI KATIKA KUTAKA KULETA MABADILIKO?
2. JE WATAKAO JITOKEZA TUTAKUWA TAYARI KUWASAIDIA? KIUSHAURI,KIUCHUMI,KISIASA..NK
3. AU JE TUNA MUONGOZO GANI KATIKA KUTAKA KULETA MABADILIKO AU KUONGEA TU HAPA INATOSHA?
ASANTENI,
kumbuka ni mtazamo wangu tu......