1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Mkuu mi ni msomi kidoogo wa war tactics.
Hii blitzkrieg ni offensive tactic iliyotumiwa sana na Hitler akitumia vikosi vyake maalum, yeye akiviita Storm Troopers.
Storm Trooperswalikuwa hatari, wakisaidiwa na mizinga, Air raids na Panzer Division(vifaru).

Tatizo kubwa ya tactic hii ni yale mafanikio yake!
Logistics zinaanza kuwa shida!
Risasi na supply lines zinakuwa nyuma sana.

Chini ya Generali Paulus aliyekuwa anaogopewa sana, Wajerumani walishambulia kwa kasi ya ajabu hadi Urusi.
Vi nchi vidogo kama Poland, Chzeckoslovakia, Hungary, vilipitiwa kama mswaki hadi nchini Urusi.

Huko Urusi wakakuta ukuta unawasubiri Stalingrad.
Na hiyo tactic ya blitzkrieg ndiyo ikawa mwisho wake, baada ya ushindi wa maelfu ya kilometa.

Hapo walimkuta mbabe wa Kisoviet, Marshal Zhukov, ambaye si tu aliwazuia, bali alitayarisha mshambulizi makali yaliyoangamiza kabisa nguvu za wajerumani.

Marshal Zhukov hakupumzika mashambulizi hadi ameiteka ngome ya Hitler , huko Berlin.
Nimeipenda hii
 
Nafikiri misri wameyafaidi sana maji yetu ya ziwa magharibi! Kama hawakutunza maji ya akiba basi ni makosa yao! Hata na sisi Tz tutayasambaza mikoa yote yenye ukame! Wawe wapole tu ubabe utawaangamiza kabisaa !
 
Nafikiri misri wameyafaidi sana maji yetu ya ziwa magharibi! Kama hawakutunza maji ya akiba basi ni makosa yao! Hata na sisi Tz tutayasambaza mikoa yote yenye ukame! Wawe wapole tu ubabe utawaangamiza kabisaa 😜!
Naskia hao mafarao wana kibri sana katika round table
 
Kama sikosei Rais Trump alisikika akisema Misri inaweza kulilipua hilo Bwawa! Ethiopia ilisema iko tayari kwa lo lote lakini haiwezi kuacha huo mradi.
 
Back
Top Bottom