1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Kuna kitu wakoloni walitengeneza Kama sikosei kinaitwa Riparian Rules.

Mpaka leo hii hoja zake hazikubaliki, kandamizi sana , na ziliipendelea sana Misiri

Chakufanya nahisi ni kama hapo kwenye hichi kidesa kidogo apo chini

IMG_1281.jpg
 
Hii inahusiana vp na mada yangu?
Sina uhakika kama umeenda shule
Ila kutokupigana vita sio kigezo cha kuwa mwanajeshi bora.
Misri ndio Jeshi Bora Afrika
Vifaa vya kisasa
Wingi wa wanajeshi
Budget kubwa
Na mengineyo.....Tanzania ikiwa namba 23 Africa
 
Mkuu ni vile tu Rais Samia alitoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi wa kishindo ulikuwa lazima.
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
 
Back
Top Bottom