10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

Both 4D & 3D
Nimejaribu kitu hapa kidogo naomba uendelee kumielekeza...

Angalia hapa alafu nipe refer kwa majibu yako mkuu
674824.jpg
 
674821.jpg

Hii ndio 3D... Hapa ili iwe 4D tunaangalia je muda upo au laa...
Na sijui kama kuna sehemu kuna absence of time.... Ikiwa ni hvo ile concept ya kusema mtu akiwa na 4D basi ana uwezo wa kuona ndani ya tumbo au kupita sehemu iliyofungwa hizo ni dhana tu...

Haya twende kwenye 5D na kuendelea
Na hapa bado mtuelekeze vzr ww mtoa.mada ukuje hapa
 
Na kama hii ndo 4D dimension according to google na source zingine .
Naomba nijue hapa time ipo wapi.

674822.jpg

Je hiki kitu kiuhalisia kipo na kama kipo tupeni elimu kidogo hapa tuelewe wakuu
VERIFY

View attachment 3651142

Upo sahihi lakini dimensions inaelezea zaidi structure existence lakini haiwezi elezea level of awareness ya kitu kama akili na uelewa ndomana miti na binadamu wote tupo kwenye dimensions moja lakini utofauti ni mkubwa kwasababu binadamu tuna brains and awareness and conscious mind .
 
Na kama hii ndo 4D dimension according to google na source zingine .
Naomba nijue hapa time ipo wapi.

View attachment 3651143
Je hiki kitu kiuhalisia kipo na kama kipo tupeni elimu kidogo hapa tuelewe wakuu
VERIFY

View attachment 3651144
Ukijaribu kuangalia vizuri utaona hapo kuna cube inside cube kwa elimu ya science hyo cube ya nje inaonesha time ambayo imekua represented kama cube pia , na hyo ya ndani ni 3D kwahyo kwa concept na maarifa yangu hyo 3D inawork kwa uwepo wa cube ya nje ambayo ni time ndomana tukaconclude kwamba 4D ni 3D(cube inside)+ time(cube outside).
 
Upo sahihi lakini dimensions inaelezea zaidi structure existence lakini haiwezi elezea level of awareness ya kitu kama akili na uelewa ndomana miti na binadamu wote tupo kwenye dimensions moja lakini utofauti ni mkubwa kwasababu binadamu tuna brains and awareness and conscious mind .
Kama unazungumzia level za namna kama hii basi hii topic imekaa spiritual sana na sio kama nilivyokua nachambua mimi hapo juu
674825.png
 
Ukijaribu kuangalia vizuri utaona hapo kuna cube inside cube kwa elimu ya science hyo cube ya nje inaonesha time ambayo imekua represented kama cube pia , na hyo ya ndani ni 3D kwahyo kwa concept na maarifa yangu hyo 3D inawork kwa uwepo wa cube ya nje ambayo ni time ndomana tukaconclude kwamba 4D ni 3D(cube inside)+ time(cube outside).
Mkuu unataka kuchanganya kidogo
Structural form
Na hiyo nyingine ya time.

Ukisema ime represent time kidogo inaleta utata..
Kidogo huku nimeanza kuelewa ila sasa hili suala unakuta halijakaa ki science zaidi
674826.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom