10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

Tukifa tunaingia 4th dimension, je ipo siku na sisi tutafika 10th? Je kuna watu waliotutangulia ambao wameshafika 10th? Je huyu aliyefanya utafiti akaja na haya yote ameishuhudia mpaka 10th dimension? Tusaidie chapisho tukajisomee sie tunaopenda kujifunza mambo mapya🙏
 
Roho waovu, nafsi za waliokufa katika Kristo wako in higher dimensions from ours.

Ukiona wanavyoelezea jinsi mtu wa 3D (sisi) tunavyoweza ku experience objects za 4D, what comes to mind? The Supernatural:

Vitu vinaonekana kutokea from nowhere na ku dissappear.
Kitu kupita ukutani bila kuharibu ukuta.
Kutoka point moja kwenda nyingine iliyo umbali mrefu sana in just seconds.
UFOs.
Etc.

Nafsi za waliokufa katika Kristo wako in a higher dimension ndomana tunaambiwa wakati wa ufufuo (kupata miili mipya):

"Naye atawatuma malaika wake kwa sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho mmoja wa mbingu hadi mwisho mwingine."
mathayo.24.31.NENO2025
 
Tukifa tunaingia 4th dimension, je ipo siku na sisi tutafika 10th? Je kuna watu waliotutangulia ambao wameshafika 10th? Je huyu aliyefanya utafiti akaja na haya yote ameishuhudia mpaka 10th dimension? Tusaidie chapisho tukajisomee sie tunaopenda kujifunza mambo mapya🙏
3d dimension ni hali tuliyonayo au tuliopo sasa, yaani vitu tuvionavo na kuvigusa na miili yetu imeumbwa kwaajili hiyo. Ukifungwa mfano lock up huwezi kutoka mpaka ufunguliwe.
4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda.

Hio 10th dimension ni uwezo wa hali ya juu sana, ambapo unaweza kuona past na future ya kila kitu. Unauwezo wakubadili future. Mfano ungekuwa na uwezo wa 10d huenda ungebadili baadhi ya maamuzi ya mbeleni yaliokugharimu.
Hapa pia unauwezo wa kurudi nyuma katika big bang na kwenda mbele zaidi mpaka mwisho wa ulimwengu wote.
Kwahiyo 10d ni controller wa kila kitu ulimwenguni na hio ni nadharia ya fizikia
 
Hahaha dimension anayo zungumzia poker ni level ya kiroho .

Ambapo Kuna physical dimension ambayo ndo mwili ulio nao, kuna spiritual dimension ni ulimwengu wa echo zaidi, kuna higher dimension ambapo mtu anakua more spiritual mpaka kuona vitu ambavo wengine hawawez kuona, alafu kuna lower ambayo hyo unakua wewe ni mtu ambaye ulimwengu wa kiroho kwako ni chenga kabsa
Hapana ujamwelewa
 
3d dimension ni hali tuliyonayo au tuliopo sasa, yaani vitu tuvionavo na kuvigusa na miili yetu imeumbwa kwaajili hiyo. Ukifungwa mfano lock up huwezi kutoka mpaka ufunguliwe.
4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda.

Hio 10th dimension ni uwezo wa hali ya juu sana, ambapo unaweza kuona past na future ya kila kitu. Unauwezo wakubadili future. Mfano ungekuwa na uwezo wa 10d huenda ungebadili baadhi ya maamuzi ya mbeleni yaliokugharimu.
Hapa pia unauwezo wa kurudi nyuma katika big bang na kwenda mbele zaidi mpaka mwisho wa ulimwengu wote.
Kwahiyo 10d ni controller wa kila kitu ulimwenguni na hio ni nadharia ya fizikia
4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda.

Unajua kwanini watu wanasema chai..
Ni kuwa unaelezea 3 dimensions vizuri Ila ukifika hapa kwenye hii ya nne na kuendelea unanza kuleta story.

Elezea vzuri si kila mtu anajua sasa unaposema 4 dimensions ana scan sijui anatoka akifungiwa how.. toa na mifano kama kule ulipoanza na depth, height and width
Ukienda namna hii ni sawa na wewe ulisoma mahali.ukamez ila deep.down.ujaelewa.
 
Poker naweza sema endelea kwanza kula nondo vzuri.

Huwenda ukawa una uwelewa mkubwa kuhusu haya mambo ila ni jinsi gani unafikisha kwa wengine ni changamoto.

Na ndo hapo kuna utofauti wa mtu aliye elewa na mtu aliye kalili....

"""4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda."""

Hayo maelezo juu hapo yanaonesha ni wazi kuna jambo uliambiwa au kusoma na ukalishika kama lilivo hvo hvo.

Mfano hapo ukaambiwa
Elezea ni jinsi gani huyo mtu aliyegungwa anaweza kutoka bila kufunguliwa.. na kama inawezekana imefanyika wapi..

Kama hakuna basi story za dimensions above 3 ni conspiracy theories tu
 
Hio ni mifano ninayo kueleza, ili uweze kuelewa kirahisi. Kinyume na hapo unataka nikuelezeje uelewe maana yangu Poor Brain
 
Poker naweza sema endelea kwanza kula nondo vzuri.

Huwenda ukawa una uwelewa mkubwa kuhusu haya mambo ila ni jinsi gani unafikisha kwa wengine ni changamoto.

Na ndo hapo kuna utofauti wa mtu aliye elewa na mtu aliye kalili....

"""4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda."""

Hayo maelezo juu hapo yanaonesha ni wazi kuna jambo uliambiwa au kusoma na ukalishika kama lilivo hvo hvo.

Mfano hapo ukaambiwa
Elezea ni jinsi gani huyo mtu aliyegungwa anaweza kutoka bila kufunguliwa.. na kama inawezekana imefanyika wapi..

Kama hakuna basi story za dimensions above 3 ni conspiracy theories tu
Mkuu hapo huwezi kuelewa kama huja experience hiyo dimension
Ni sawa na mimi na wewe tunasoma kitabu kimoja lakini mimi nipo chapter 8 ila wewe umefika chapter 17, hakuna namna tunaweza kuelewana tukisimuliana hicho kitabu japo wote tunasoma kitabu kimoja
 
Mkuu hata wewe pia ni wale watu wa kusoma au kusikia jambo na kulimeza kama lilivo ila ku deep down no..

Basi fanya kuuliza hata kwa chatgpt ili uje kutuelezea sisi vizuri na clear.

Kitendo cha kusema ukifungwa unaweza kutoka au unaweza scan mtu.. kwa maelezo hayo kweli inaingia akilini.

Na kama upo chapter 18 je uwezi kwenda kwa sammary kumueleza huyu aliyopo chapter 7...
Unasema mpaka u experience oky sasa unazani nani atakuamini kitu ambacho ume experience na kushindwa kuelezea
 
Sasa kama hujauliza swali lako, unataka nikujibu nini? Umesema 3rd dimension unaielewa vyema. Sasa kama unaielewa na unajua kuna 1st na 2nd dimension, swali lako ni lipi haswa Poor Brain
Broo kabla ujafika 10th dimension elezea hiyo 4th dimension...?

Achana na mifano. Elezea hiyo 4th ndo nini mbona huku kwenye 3rd umeelezea fresh ndo ukaja na mifano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom