10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

Mkuu hata wewe pia ni wale watu wa kusoma au kusikia jambo na kulimeza kama lilivo ila ku deep down no..

Basi fanya kuuliza hata kwa chatgpt ili uje kutuelezea sisi vizuri na clear.

Kitendo cha kusema ukifungwa unaweza kutoka au unaweza scan mtu.. kwa maelezo hayo kweli inaingia akilini.

Na kama upo chapter 18 je uwezi kwenda kwa sammary kumueleza huyu aliyopo chapter 7...
Unasema mpaka u experience oky sasa unazani nani atakuamini kitu ambacho ume experience na kushindwa kuelezea
Ndio huwezi kuamini hata iweje
 
Broo kabla ujafika 10th dimension elezea hiyo 4th dimension...?

Achana na mifano. Elezea hiyo 4th ndo nini mbona huku kwenye 3rd umeelezea fresh ndo ukaja na mifano
Ningumu kukuelezea ukaelewa kama ilivyo ngumu kumuelezea mtu wa 2d kuwa kuna 3d, ni kama Koffi Annan alivosema.

Ila 4th dimension ni point moja kuongeza kutoka kwenye ile 3d. Maanake wao kinachoongeza ni nafasi kwa wakati mmoja.
 
Hahaha dimension anayo zungumzia poker ni level ya kiroho .

Ambapo Kuna physical dimension ambayo ndo mwili ulio nao, kuna spiritual dimension ni ulimwengu wa echo zaidi, kuna higher dimension ambapo mtu anakua more spiritual mpaka kuona vitu ambavo wengine hawawez kuona, alafu kuna lower ambayo hyo unakua wewe ni mtu ambaye ulimwengu wa kiroho kwako ni chenga kabsa
Ukishasikia "kiroho" tu, ujue kabobo.
 
Eeh mkuu umegusa kitu kizito sana. Mimi si mtaalamu wa fizikia lakn hii story ya dimensions inanisumbua kidogo. Kama 10th dimension ndio kielelezo cha Mungu, basi sisi tunaishi ndani ya mfumo wake tu? Hiyo ina maana kila kitu kimepangwa kabisa, hata uamuzi wetu wa kuchagua ndoo? Sijui mkuu, nafikiri Mungu anaweza kuwa juu ya hiyo yote, si ndani ya dimensions tu. Hata hivyo, hoja yako inapendeza, inakufanya ufikiri zaidi. Kweli dunia ni ngumu sana.
 
“Kama 10th dimension ni kitu ambacho hatuwezi kukiona moja kwa moja lakini wanasayansi wanakizungumza, je inawezekana kuna mambo mengine ya kweli ambayo yapo nje ya uwezo wetu wa kuyaona na kuyapima? Hapo ndipo mimi naona mjadala wa Mungu unakuwa interesting.”
 
Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension.

Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine.

Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja.

10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
“Hoja yako ni interesting, lakini hapo umeunganisha mambo matatu tofauti: dimensions za fizikia, maisha baada ya kifo, na Mungu. Ni ushahidi gani unaothibitisha kwamba kiumbe wa 10D ndiye aliyeumba 3D, na kwamba mtu akifa anaingia 4D? Hapo ndipo ningependa tuone ushahidi, si dhana pekee.”
 
Ningumu kukuelezea ukaelewa kama ilivyo ngumu kumuelezea mtu wa 2d kuwa kuna 3d, ni kama Koffi Annan alivosema.

Ila 4th dimension ni point moja kuongeza kutoka kwenye ile 3d. Maanake wao kinachoongeza ni nafasi kwa wakati mmoja.
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Mwanangu hamna kitu hapo kabisa aiseee... An kama ni paper una F kali mno
 
“Kama 10th dimension ni kitu ambacho hatuwezi kukiona moja kwa moja lakini wanasayansi wanakizungumza, je inawezekana kuna mambo mengine ya kweli ambayo yapo nje ya uwezo wetu wa kuyaona na kuyapima? Hapo ndipo mimi naona mjadala wa Mungu unakuwa interesting.”
Mambo ni mengi sana
 
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Mwanangu hamna kitu hapo kabisa aiseee... An kama ni paper una F kali mno
Dimensions znatofautiana , tunaweza tukaeleza tukibase kwenye science zaidi au spiritual ile nlio kuelezea juu ni spiritual based ila in science naweza sema 1D ni mwelekeo mmoja tu naweza let it as x.

2D hapa kitu kinaoccupy direction mbili ambayo inaweza kua x,y kwa rahisi naweza sema urefu na upana.

3D kunakuwa na x,y, z manaake urefu, upana na kina

4D hapa ndo pana upana kidgo Mr poor brain hapa maaana ake mambo yanaanza kuwa more interesting hapa tunaanza kuhusisha time na location mfano nkisema poor brain jana alikua dodoma saa 10:45 jioni sijui naeleweka ?

Lakini kuhusu 5D na kuendelea ndo tunaweza ongelea issues za time traveling nahisi alicho elezea mr Poker sidhani kama tunatofautiana sana
 
Ahahhahaa mkuu naomba nielekeze kuhusu gravitational force... Na mifano
 
Gravitational force ni nguvu ya mvutano iliopo kati ya vitu viwili vyenye mass . Mfano mtu akiruka juu lazma arudi chini kwasababu ya gravity
 
I mean kuhusu perception nzima ya dimensions
Kwa uhalisia tunazoona ni tatu, ingawa hatujawahi kuona nyingine hivyo inakuwa ngumu kuamini kama kweli kuna dimension nyingine, je kama hyo ni idea tuliyojiwekea kwamba kuna dimension na kiuhalisia hivyo ndivyo dunia ilivyo hakuna mambo ya dimension,

ila kwa upande wangu naamini kuna dimension nyingi ingawa hizi zote ni kutokana na elimu iliyotoka kwenye mawazo ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom