10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,283
Reaction score
21,551
Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension.

Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine.

Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja.

10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
 
Na hii ni id ya mda kidogo sitegemei maelezo kutoka chat gpt...
Shuka nondo mkuu maana hamna suala sielewi kama dimensions zaidi ya zile za kwenye mechanics [mTL]
Hahaha dimension anayo zungumzia poker ni level ya kiroho .

Ambapo Kuna physical dimension ambayo ndo mwili ulio nao, kuna spiritual dimension ni ulimwengu wa echo zaidi, kuna higher dimension ambapo mtu anakua more spiritual mpaka kuona vitu ambavo wengine hawawez kuona, alafu kuna lower ambayo hyo unakua wewe ni mtu ambaye ulimwengu wa kiroho kwako ni chenga kabsa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom