09/12 siku mlango utakavyolia

09/12 siku mlango utakavyolia

Basi na aendelee kuzingatiwa na wanaomzingatia
Huyu ni wakupuuzwa tu sioni cha maana kwake , basi wabongo ndio tunaona anafanya jambo la maana , hakuna info hata moja aliyowai itoa ikawa na impact yoyote kwenye mapambano zidi ya chama tawala.
 
Uvccm mmepanic 😄
sijawai fikria kuwa UVCCM mkuu, ila huyu jamaa hizo info zake sioni ka zina impact yoyote kwetu katika kukiondoa chama cha mapinduzi madarakani,
Au we mwenzetu unaona lengo nini hasa kwa huyu member kuleta info zake hapa jukwaani , na mara nyingi zinakuwa potoshi .
 
Usemayo ni kweli mi ni wa kupuuza sana kwa kweli

1. DOKEZO - Responded - Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

2. Ni kweli nipuuzwe mkubwa

3. Usisite kunipuuza mwenzangu

4. Usisite kunipuuza mkuu wangu

5. Endelea na Mpuuzo jamaa yangu

6. Jamaa usisite kulipuuza hili Puuzi Britanicca

7. Apuuzwe Britanicca

Aisee ni mengi sana ya kumpuuza Britanicca
Haya ni robo ya alosema kipindi cha Samia

Ya KATTO Bado sikuweka

Britanicca
Brother britanicca hizi habari hazina maajabu yoyote mkuu kwa mfano wakitaka kutengua mtu wanakupa wewe taarifa ili uvujishe lengo ni uendelee kujipatia credibility after hapo watu wanakuamini hivyo hata ukitoa taarifa za kuwapa watu matumaini hewa wanakuamini huku wao wakiendelea kubuy time hadi 2030,
Wewe ni upande wao tangu miaka hiyo hadi leo,

Unavujisha taarifa ulizopewa uvujishe na zisizo na madhara kwao

Nimekusema leo na sitorudia kukusema tena brother
 
We mwenyewe unamzingatia , maana umesema umemfuatilia toka awamu ya nne . Wabongo bhana 🤣
Sawa bro lakini fikiria huyu mtu anayepata taarifa zote nyeti and still hakamatwi na hashtukiwi,wewe unadhani taarifa nyeti wanapewa watu wengi hadi zitapakae kiasi hicho?
Huyu atakuwa ni zaidi ya nabii asee maana kwenye kila kikao cha siri yeye anapata taarifa
 
Sangwenya mpiga ramli bana, ushirikina wako katika kipindi hiki cha sayansi na teknilojia ni kitu useless sana aise:pedroP:

ila unawakama maskio Masangwenya wenzako vizuri sana, hasa wale wanaoamini katika porojo za kinabii za mijusi ambao wao huwaita majasusi 🐒
Umeelewa alichoandika au unaropoka tu posho ya 7000 iingie
 
Usiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.

Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.

Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.

Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.

Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.

Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.

Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.

Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.

Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.

Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.

09/12.

Britanicca
Alizeti will be free
 
Aisee ila wee jamaa una mambo mengi hadi tunachanganyikiwa
 
Hamna kitu kitakachotokea. Kwanini kisubiri tarehe yenye tukio maalum kama kina nia ya kutokea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom