tumia kitochi kupiga picha
tumia kitochi kupiga picha
Hizi kodi za leo zinahitaji Konyagi kubwa na Kilo nzima ya kitimoto ili kuweza ku uncodeUsiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Mikwala ya Nini sasa,si umpuuzeBrother britanicca wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo na ndio maana awamu ya 5 ulikuwa unavujisha info za uhakika kwa sababu ulikuwa unapewa uzivujishe
Sasa hivi habari zote unazotoa ni kwa lengo la kupumbaza watu na kuwapa matumaini hewa.
There is no way kwa utawala huu uvujishe taarifa nyeti na usipatikane, NEVER ,hayo yalitokea awamu ile na hayatojirudia,
Kwahiyo bro acha kupotosha humu,mimi nimekufuatilia kwa ukaribu kwa kipindi kirefu sana,wewe ni mpotoshaji 100% na uache hiyo tabia mara moja ingawa hata usipoacha sina la kukufanya,
Kuna muda unapewa taarifa za ukweli zisizo na madhara uzivujishe ili uendelee kujipatia credibility humu
Watu wanamzingatia,sitaki nimpuuze mimi tu,nataka apuuzwe na wengi.Mikwala ya Nini sasa,si umpuuze
Akuombe radhi tena sana mkuuAyeyeye huyo wa CHAUMA? Niombe radhi tafadhali
Sasa ndo anazingatiwa mkuuWatu wanamzingatia,sitaki nimpuuze mimi tu,nataka apuuzwe na wengi.
Fasihi ni ukoko na mwandishi ni kijiko, kwangua..Fasihi ni ukoko chambua!
Sasa ndo anazingatiwa mkuu
Basi na aendelee kuzingatiwa na wanaomzingatiaSasa ndo anazingatiwa mkuu
Bora umemsanukiaBrother britanicca wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo na ndio maana awamu ya 5 ulikuwa unavujisha info za uhakika kwa sababu ulikuwa unapewa uzivujishe
Sasa hivi habari zote unazotoa ni kwa lengo la kupumbaza watu na kuwapa matumaini hewa.
There is no way kwa utawala huu uvujishe taarifa nyeti na usipatikane, NEVER ,hayo yalitokea awamu ile na hayatojirudia,
Kwahiyo bro acha kupotosha humu,mimi nimekufuatilia kwa ukaribu kwa kipindi kirefu sana,wewe ni mpotoshaji 100% na uache hiyo tabia mara moja ingawa hata usipoacha sina la kukufanya,
Kuna muda unapewa taarifa za ukweli zisizo na madhara uzivujishe ili uendelee kujipatia credibility humu
Uvccm mmepanic 😄Hivi huwa nini hasa lengo la nyuzi zako za kisiasa , sioni hata matokeo chanya yoyote kwa nyuzi zako ni kama umbea tu atleast Mange hufichua utakatishaji wa mali za Umma ila nyuzi zako wewe ni useless kabsa na zimejaa hadaa
Ukimalizana naye sogea hapa nyakayondwa tuifungue codeMkuu mm nipo hapa nyakakarango ...... Unaweza sogea tukanywa hiyo Rubisi wote tufungue code ambayo kimsimgi inamlenga TL kuachiwa huru.
Usemayo ni kweli mi ni wa kupuuza sana kwa kweliBrother britanicca wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo na ndio maana awamu ya 5 ulikuwa unavujisha info za uhakika kwa sababu ulikuwa unapewa uzivujishe
Sasa hivi habari zote unazotoa ni kwa lengo la kupumbaza watu na kuwapa matumaini hewa.
There is no way kwa utawala huu uvujishe taarifa nyeti na usipatikane, NEVER ,hayo yalitokea awamu ile na hayatojirudia,
Kwahiyo bro acha kupotosha humu,mimi nimekufuatilia kwa ukaribu kwa kipindi kirefu sana,wewe ni mpotoshaji 100% na uache hiyo tabia mara moja ingawa hata usipoacha sina la kukufanya,
Kuna muda unapewa taarifa za ukweli zisizo na madhara uzivujishe ili uendelee kujipatia credibility humu
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwaMkuu,
Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale.