0713

0713

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Nimeamua kuuliza swali ninalokwenda kuuliza kutokana na ndoa 4 ninazozifahamu kuvunjika kutokana na wanawake kusababisa kuvunjika huko kwa kutaka matumizi ya mtandao.Najua ndoa hizo ni chache sana kufanyia maamuzi lakini naweza kuanzia hapo.Swali langu ni kuwa;Kati ya wanaume na wanawake ni upande gani unaanzisha matumizi ya mtandao?Jibu la hapa linaweza kusaidia kujua tatizo linapoanzia ili kutatua tatizo.Mimi nilidhani wanaume ndo waanzilishi lakini tangu kuvunjika kwa ndoa hizi mawazo yamebadilika kabisa inawezekana tatizo ni dada zetu,je wewe una maoni gani?
 
Mmmh, wifi Kaunga njoo haraka kimeumana huku.

Kaka eiyer nakusalimia.tu.
 
Last edited by a moderator:
mnhhh i am scared na hizi topics kwa kweli
huwa nashindwa hata changia...
i guess nazeeka now
 
Mmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!! NDOA NDOANO!!!!!!!!
 
Mh..mi mwenyewe sina jibu! Ila kimtazamo wangu ipo 50-50.
 
Kama mwanamke anakupenda ataanzisha mwenyewe ili ufaidi tunda la mti wa nyuma,bt kama hakupendi atapata huduma kwa ma kuli wa mapenzi wapendao kusaidia udumisho wa ndoa za watu!kama unataka kujua kama mkeo anatumia mti wa nyuma piga snoopy style wakati unapanda lift kagua kama mti wa nyuma umejaa mazoea ya mbolea au unaota wenyewe,

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ukiolewa na waarabu wa mafuta
si utafurahi sana?

***** mchokoe pweza binadamu hutoniwezaaaa!!!!!!!!!! Nikiolewa na yoyote nimpendae na nilimridhia nitafurahi sanaaa! Unalingine?
 
Nimeongea from your quotes ...sawa?
topic ya mume na mke na ky jelly

remember?

Hahahaaaaaaaaaa! Najua sanaaa kama husahaugi jambo!!!!!!!1 Ndo nikakwambia chokochoko mchokoe pweza binadamu hutoniwezaaaaa!!!!!!!!! Ngoja waarabu wasikie unawataja taja huku!!!!!!!!!!!! Ile tofauti na huku, yule alishapotea so ule ushauri ungemsaidia ila huku watu watafuta visingizio vya kuanza!!!
 
Mhh vyumbani kuna mengi sana, kusali sana kunahitajika Mungu aepushe na madhambi kama hayo
 
Hahahaaaaaaaaaa! Najua sanaaa kama husahaugi jambo!!!!!!!1 Ndo nikakwambia chokochoko mchokoe pweza binadamu hutoniwezaaaaa!!!!!!!!! Ngoja waarabu wasikie unawataja taja huku!!!!!!!!!!!! Ile tofauti na huku, yule alishapotea so ule ushauri ungemsaidia ila huku watu watafuta visingizio vya kuanza!!!

my love for threesome looks like a church thing with this lol
bora mimi lol
 
Mh, hapa pagumu kwani wanatakiwa galasa ndio waje waendeshe mada, mie bado nina bikra mbichi.
 
Tuache majungu ukweli waanzishi wa hiyo kitu ni wanaume. Hata hao wanawake unaowasema walilaghaiwa na wanaume kisha wakatoa kama sehemu ya mapenzi kisha wakaja kuolewa na watu ambao hawatumii mtandao na hapo ndipo ndoa zilipovunjika.

Kuna watu watakuja na nadharia ya baadhi ya kina dada kutaka kuwathibiti waume zao kwa kuwapa hiyo kitu, ni kweli lakini idadi hiyo ni chache na hata ikitokea mpaka mwanaume akubali jambo ambalo linakuwa gumu kwa wanawake kuwashawishi wanaume ambao hawapo tayari.

kingine ni character ya wanaume kuona kama kumfanyia mwanamke hivyo ni kumkomoa na kama njia ya kumkamata na kumtawala kiakili kutokana na jambo hilo la kihuni alilofanyiwa. Hivyo wanaume wengi hujikuta wakishawashi wanawake kuwaingilia kinyume na maumbile ili wawa win na utafiti uchwara unaonyesha wengi kufanikiwa au hukutana na upinzani ambao siyo mkubwa sana na baadae kufanikiwa.

Huo ni mtazamo wangu.
 
my love for threesome looks like a church thing with this lol
bora mimi lol

Hahahaaaaaaaaa!!!! Very very AMATURE compared na hawa wazee wa VIBOGA!!!!!!!!!! Ila ile inabidi ule fetata twaah (2F n 1M) Ile ingine its GROSS!!!!!!!!!!! All of them lazima HOMO moves zitokee, unless mmoja atakaa kando, mambo kwa zamu.
 
Mh, hapa pagumu kwani wanatakiwa galasa ndio waje waendeshe mada, mie bado nina bikra mbichi.

Mkuu Miwa naona hapo kwenye Avatar umekaa pozi la KUACHIA ACHIA NCHI!!!!! Uko standby kabisaaaaa!!!!!!! Unawaza Guantanamo kama sio The Hague vinavokungoja kwa mashtaka ya kivita.
 
Mh, hapa pagumu kwani wanatakiwa galasa ndio waje waendeshe mada, mie bado nina bikra mbichi.

Saidia mawazo hapa Miwatamu ,sijui kwanini nimejikuta napenda ID zako . . . . . .Lol!
 
Last edited by a moderator:
jamani mtandao wowote,yeyote yule anaweza kuutumia,inategemea nani wakwanza ku-establish communication kwa kutaka kupiga,kubip au kuandika meseji.
 
mmh haya chokonoa, chokonoa kila tundu
Ikiwezekana hata tundu za pua na masikio zichokonoe
Si human rights bana na ma ujanja eti ya kimapenzi chokonoa,
Yangu macho tu............
 
nilivyoona namba nilijua ndani unamalizia namba yako ili tukutongoze
 
Back
Top Bottom