zitto

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

    Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wa Kitanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni, Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwa kutumia nguvu ya Rais alikataa watoto hawa kuendelea na masomo. Benki ya Dunia...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tujadili uaminifu wa Zitto kwa Taifa letu

    Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati. Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

    Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usaliti wa Zitto na umuhimu wa Zitto kwa watanzania

    Habari wana jamvi, Nasikitika kusema watanzania walio wengi japo sio wote watakuwa wamelogwa na wala sio bure. Sasa naona hakuna cha wasomi wala wasio wasomi wenyekufikiri wapi tulipo na wapi tunatakiwa kwenda. Wengi humu wanajifanya wachambuzi wa siasa wazuri kumbe ni washabiki na wenye chuki...
  5. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Udalali wa Zitto & Co kwa makampuni ya gesi na mafuta

    Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Zitto na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hoja ya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi. Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  8. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  9. Arushaone

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mradi wa Kabanga Nickel ni Mradi wa Barrick uliofichwa kupitia kampuni ya LZ Nickel ya Uingereza

    Mikataba mipya ya Madini (Frameworks Agreements) itazamwe tena Na. Zitto Kabwe Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji hapa nchini. Miradi hiyo ni mradi wa dhahabu Nyanzaga wilayani Sengerema mkoani Mwanza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

    Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau Zitto Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi cha njaa au cha neema. Zitto anachodhania yeye...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Vitalis Maembe aachiwe mara moja, anaonewa.

    Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

    Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana. Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza. Zitto alifika...
  13. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

    Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija. Ukitaka kugeuza TANESCO liwe la kibiashara moja kwa moja kwanza utapata muwekezaji gani? Lazima awe wa...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Happy born day Mwamba Mbowe

    Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako. Mungu akupe maisha marefu
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo afanya mazungumzo na Zitto Kabwe

    KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...
  17. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aanza majukumu ya TCD

    Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa. Zitto Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

    Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo wamekuwa kimya kuhusu Katiba Mpya, kulikoni?

    Tangu kuanza kwa vuguvugu la kudai katiba mpya mapema mwaka huu likiongozwa na Chadema, Zitto Kabwe na chama chake cha ACT Wazalendo wamekuwa kimya pasipo kutia neno lolote. Hivi karibuni Zitto amesikika akishauri mchakato huu lazima uongozwe na wananchi wenyewe si wanasiasa, kwa upande...
Back
Top Bottom