"Simba" kuoa mwanawe wa Zinaa!

"Simba" kuoa mwanawe wa Zinaa!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,148
Reaction score
26,482
Je, unawajua watoto ambao "Simba" anaweza kuwaoa?
Wataje na mama zao!
Taja watoto wa ZINAA WA SIMBA.

Mtoto ni mtoto tu, hayo ya zinaa ni utaratibu wa kibinadamu waliojiwekea ili kuishi kiistaarabu.
 
Mtoto ni mtoto tu, hayo ya zinaa ni utaratibu wa kibinadamu waliojiwekea ili kuishi kiistaarabu.
Mtoto wa Zinaa ametajwa na Mtume na si jamb la kibinadamu.

Yaani Mtoto wa Zuchu ndio pekee , anatambulika na alah, the rest ni watoto wa Zinah.
 
Back
Top Bottom