Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
353
Reaction score
494
Mambo wanajamvi?

Imekuwa ikisikika kwamba zinaa inanafasi kubwa ya kupelekea balaa kwa wahusika.Yaani ati unaposhirikiana na mtu kimahusiano inapelekea maroho yaliyo upande wa pili kukuingia wewe.Mfano unaposhirikiana na mtu wawezapata mabalaa au mambo Yako yanaweza yasiende tofauti na kabla hujajihusisha na mtu huyo.

Hivi kiimani hii ikoje Kuna uthibitisho wa yeyote katika maandiko alipata mabalaa kwa kujihusisha kimahusiano na mwingine au ni kutishana ili kudhibiti mienendo ya watu🎤🎤🎧
 
Mambo wanajamvi?
Imekuwa ikisikika kwamba zinaa inanafasi mkubwa ya kupelekea balaa kwa wahusika.Yaani ati unaposhirikiana na mtu kimahusiano inapelekea maroho yaliyo upande wa pili kukuingia wewe.Mfano unaposhirikiana na mtu wawezapata mabalaa au mambo Yako yanaweza yasiende tofauti na kabla hujajihusisha na mtu huyo.Hivi kiimani hii ikoje Kuna uthibitisho wa yeyote katika maandiko alipata mabalaa kwa kujihusisha kimahusiano na mwingine au ni kutishana ili kudhibiti mienendo ya watu🎤🎤🎧

Sijui
 
NO,

muafrika ni bingwa wa mambo ya kufikirika.

Balaa pekee la zinaa ni magonjwa, kufirisika kama unahonga sana na kuharibu mahusiano kama unafanya ufuska

Haya manuksi mnayoyaongelea yapo tu afrika tena kwa kaya masikini na yanahimizwa ili kuwachanganya ili mpigwe pesa na mashehe wa kusoma visomo na waganga wa kuku mweusi
 
Mbona mbuzi, kuku , nguruwe hawana izo issue na maisha yao ni furaha kuliko sisi ambao tuna makatazo mengi ila maisha ni magumu kila kukikucha?
 
Kama tupo advanced kuliko wao mbona hatuna furaha na tumejawa wasiwasi kiasi hiki
Furaha na wasiwasi ni perspective ya mtu si aina ya wanyama.
Is why furaha ukiwa huna wewe ,wengine wanayo

So do wanyama pia wapo wanaopata stress, na changamoto zingine kutokana na mazingira waliyopo
 

1 Wakorintho 6:16-18 BHN (Biblia Habari Njema)


Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye – kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye. Jiepusheni kabisa na uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom